Siku ya Baba duniani: Je, unafahamu tarehe ya kuzaliwa ya baba yako?

Manuscript

Member
Jun 5, 2016
42
27
Leo tarehe 19/06/2016 ni maadhimisho ya siku ya Baba duniani.
Wangapi mnaofahamu tarehe aliyozaliwa mzazi wako wa kiume (yaani baba).
Jibu;
Ndio kama unafahamu.
Hapana kama hufahamu, au
Sina uhakika kama huna uhakika.

Tuwe wakweli tafadhali. Ili mwisho wa siku tuweze kupata at least takwimu sahihi, kwani kumekuwa na mamneo mengi kuwa mzazi anayethaminiwa sana ni mama.

Leo nataka tudhibitishe kama ni kweli Baba athaminiwi kama mama kwa kuangalia kigezo hiki cha ufahamu wa watu kuhusu tarehe ya kuzaliwa ya mzazi wao wa kiume.
 
1466342768532.jpg
 
Back
Top Bottom