Siku ya 18 ya uzazi

Oct 12, 2013
95
19
Wapendwa herini ya krismas

Naombeni msaada kwa yeyote anayejua mimi nilijifungua leo ni siku ya kumi na nane na uchafu bado unaendelea kutoka je kuna tatizo kiafya?
 
Hakuna tatizo dada 'angu.Hiyo ni hali ya kawaida baada ya kujifungua na inaweza kuchukua hata siku 40.
 
Oooh dear me !!! Tazama kadi yako ya uja uzito ! Ulitakiwa kuhudhuria kilinik ya baada ya kujifungu katika siku ya 7 na 28 ili kukaguliwa pamoja na mabo yoote ni kurejea kwa mji wa mimba katika pango la nyonga, na kupotea kwa damu ya kujifungua , hali ya matiti, joto la mwili na unyonyeshaji .

Kwa hakikika iwapo mpaka leo Huo "UCHAFU" Kama unatoka nakushauri uende kituo/hospitali yoyote unayoweza kuifikia ili ukaguliwae na kupata huduma inayostahili ili ukaguliwe aina ya huo uchafu na mambo mengine yanayompasa mama aliye jifungua please NENDA
 
Oooh dear me !!! Tazama kadi yako ya uja uzito ! Ulitakiwa kuhudhuria kilinik ya baada ya kujifungu katika siku ya 7 na 28 ili kukaguliwa pamoja na mabo yoote ni kurejea kwa mji wa mimba katika pango la nyonga, na kupotea kwa damu ya kujifungua , hali ya matiti, joto la mwili na unyonyeshaji . Kwa hakikika iwapo mpaka leo Huo "UCHAFU" Kama unatoka nakushauri uende kituo/hospitali yoyote unayoweza kuifikia ili ukaguliwae na kupata huduma inayostahili ili ukaguliwe aina ya huo uchafu na mambo mengine yanayompasa mama aliye jifungua please NENDA



mamaaaaaa mbona nimeshaharibika kama ndo hivyo
 
Mimi juzijuzi ndugu yangu alijifungua. Nurse akasema damu zinaweza toka hadi siku ya 42
 
Mimi juzijuzi ndugu yangu alijifungua. Nurse akasema damu zinaweza toka hadi siku ya 42



pia mimi nimempigia mganga akaniambia inaweza kutoka hadi kuja kukutana tena na damu ya hedhi ya mwezi kwa hiyo inawezekana kuna kaukweli
 
Back
Top Bottom