YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,994
Ukitizama hii video unaona jinsi wazanzibari walivyo na hamu ya kutaka Magufuli akatumbue majipu Zanzibar.
Tatizo ni katiba ya muungano na ile ya Zanzibar haimuruhusu kuingilia kutumbua majipu yaliyoota kwenye mambo ambayo siyo ya muungano.
Pamoja na kiu waliyonayo kinachohitajika ni wao kutaka katiba ya Zanzibar na ya muungano irekebishwe ili itoe nafasi kwa Mtumbua Majipu Magufuli akatumbue Majipu Kule.
Ona wazanzibari hawa walivyompenda Magufuli na kumpa ujumbe wao