Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Watanzania mkubali mkatae bila kuwa na upinzani Tungekuwa hatujafika hata hapa tulipofika leo. Viongozi wengi wa kiafrika na hasa wa Tanzania wapo vizuri kuhubiri sheria na kanuni za nchi lakini kwao nivigumu kufata izo sheria na kanuni. Leo tumeona mfano mzuri kutoka kwa mkuu wa mkoa wa Dar na kamanda wake kugoma kufika Mahakamani huku wakiwa wamekingiwa kifua na mkulu.
Bila upinzani Tanzania hivi leo tusingekuwa tunajua hata huu msemo " Fisadi". Awamu ya Tano tumepata mkosi wa kupata viongozi wa ajabu ambao hawathamini utu hata kidogo. Yani kuna viongozi wana Roho mbaya kumzidi hata shetani. They just care about their Stupid Legacy na uroho wa madaraka. Hawataki kukosolewa wala kusemwa. Yani wanajifanya Mungu mtu.
" Mtu anaongoza nchi Maskini kama Tanzania anajiona kama Mungu. Hivi angekuwa anaongoza nchi kama USA ingekwaje sasa!"
Awamu iliyopita Tanzania tulitumia mabilion kutengeneza rasimu ya katiba. Lakini hivi leo hii serkal haitaki kusikia hata kidogo kuhusu swala la katiba mpya. Hii yenyewe iliyopo wanaisigina watakavyo.
Hii awamu ni ngumu sana kwa wapinzani Tanzania. Yani ndani ya mwaka mmoja tumeona Figusu nyingi sana hawa wapinzani wa nchi hii wamefanyiwa. Wengine wamepotezwa mpaka leo hii hawajulikani walipo na serikal haina habari nao.
Watanzania Tuwaombee sana hawa viongozi wa upinzani. Kwa sasa wanapitia wakati mgumu sana. Hii awamu ni ngumu na inatisha. Hawa wapinzani wakikata tamaaa tutambue kabisa Twafaaaa.