Siku UKIMWI ukiondoka duniani

Jembemtaji

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
1,192
Reaction score
929
sipati picha siku wizara ya afya ikitangaza kua tumefanikiwa kutokomeza kabisa gonjwa la ukimwi.

Ambalo lilikua linaleta fitina kwenye mapenzi ya watu.

Binafsi nitafanya sherehe kubwa kwa sababu ata ninapotumia condom bado mashaka hayaniishi mwenzenu.

Ata tunapooana bado mke na Mme kila mmoja anaisi mwenzake atamletea mgonjwa nyumbani.

Kwa ujumla unatuletea ofu kubwa katika maisha ukizingatia umekaa sehemu ambayo ni nadra sana binadam kupachukia.

Siku ukiondoka kama ilivyoondoka NDUI amani itakuwepo.

Sijui wenzangu mnasemaje kuhusu fitina ya ukimwi kwa ustawi wa mahaba yetu.
 
Ukimwi unaweza kuisha wakati haupo tena duniani...
 
nipo hapa maabara naandaa tiba ya huu ugonjwa angalau nihamishe pa kuupatia
 
Ukimwi ulikuwa engineered for research issues. Bahayi mbaya ika-land kwenye mikono ya CIA pamoja kuwa ilikuwa na patent ya dr mmoja hv jewish.
Basi ndio hvyo wakaona ku-control ulimwengu inabidi tufanye hili tuanze na africa. Na africa ilkuwa strategic maana ukimwi kusema ukweli ulicollapse uchumi wa mataifa africa mengi. Maana madawa, nguvu kazi viliporomoka.

Kiukweli ukimwi ulianzia san francisco huko ndio akatuma africa.
Dr Robert
 

Ukimwi haupo ni uongo tu.wewe toa mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…