Kwa nini hamkusema ianze msimu uliopita?
Lakini ndo yanayofaa kwa mbolea, halafu mmekomaa mpigiwe makofi na Simba kwa nini msipigiwe makofi na Coastal union ambao mnacheza nao mapema kabla yetu?Mla ni mla leo, mla jana kala nini? Mavi ya kale hayanuki.
Lakini ndo yanayofaa kwa mbolea, halafu mmekomaa mpigiwe makofi na Simba kwa nini msipigiwe makofi na Coastal union ambao mnacheza nao mapema kabla yetu?
Mla ni mla leo, mla jana kala nini? Mavi ya kale hayanuki.
Tano zinalipwa lini???
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kumi moja mamoja manane, kumi sifuri mamoja matano, maelfu mawili mamia sifuri kumi moja na mamoja matatu.
Tano zinalipwa lini???
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums