Siku Nyerere alipotishia kunichapa

Rajab ni PISHI Lake mwenyewe nyerere au makusudio yake

Nimecheka Sana eti mzee masaa yote mawili wamekaa hata njugu moja ahamed rajabu mwl hakunipa ,daaaa kweli baba wa taifa

Alikuandaaa
 
Kuna mambo mengi ya Mwl.Nyerere, Ahmed Rajabu anayo ktk kumbukumbu zake ila nasikitika ya kwamba atakufa nayo bila kuyatoa kwa jamii
Ayatoe tu, alikubaliana na mwalimu asiyaaandike, siyo asiyaseme.

Aende akamwambie mtu mwingine na huyo mtu mwingine ndo aandike!
 
Ushauri wangu kwa huyu mzee aandike kwa lengo la kuburudisha na kuhabarisha ila sio kwa lengi la kubadili historia au kuweka historia sawa,atakufa na sonona,maana story zake hakuna mtu anajali
Kati yako na yake Nani mwenye Sonono ikiwa Mzee yule mpaka wamiliki Jamiifrom wenyewe wanamfata mpaka kwake na kumpa Zawadi kwa michango yake humu ndani...

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
View attachment 1977236
 
Hujanielewa mimi pia nasoma sana makala zake zina ukweli sana tatizo wakubwa hawataki kusikia historia mpya zaidi ya ile iliyoandikwa na wao,matokeo yake huyu mzee atapata stress au sonona kama lengo ni kubadikisha historia,nadhani nimeeleweka
 
Naona wewe ndio utaki kunielewa Ndugu yangu jaribu kujipima wewe mwenyewe kati yako na Mzee Mohamed Said Nani mwenye Sonono...

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Naona wewe ndio utaki kunielewa Ndugu yangu jaribu kujipima wewe mwenyewe kati yako na Mzee Mohamed Said Nani mwenye Sonono...

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
Una kichwa kigumu sana,sasa mimi unanipimaje na huyo mzee are you seeious.mimi sio mwandishi wala mwanahistiria,mi sonona naitoa wapi,mi nasoma makala kujiburudisha yeye anaandika kwa lengo maalum
 
Unaona kosa lako umesahau kuwa yeye ile ni kazi yake sasa wewe sonona yako inakupelekea kutaka kumpangia kazi yake...

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Unaona kosa lako umesahau kuwa yeye ile ni kazi yake sasa wewe sonona yako inakupelekea kutaka kumpangia kazi yake... View attachment 1977261

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
Ahaaa,hivi ukifanya kazi nzuri alafu wahusika wakajifanya hawaioni unajisikiaje,JF at least wameona mchango wake,vipi serikali,na ccm ambao chimbuko lake ni Tanu wamemkumbukaje tangu aanze kuandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…