Mkuu,naelewa concern yako mkuu,Unaweza kuitazama kama promo,unaweza kuutazama kama mjadala hasa kama umewahi kuanzisha biashara ikafeli na ukafikia hatua ya kuifunga.All in all mm mtandaoni huwa nakuja kutafuta soko/wateja/biashara/fursa na nakushauri hata wewe jiweke katika mtazamo wa namna hiyo kwamba upo mtandaoni kutafuta pesa/soko/fursa/wateja/deals maana kiuhalisia unapoingia mtandaoni unatumia gharama na muda so ni muhimu sana uhakikishe unatumia mtandao kujifunza na kujiongeza.All in all iwapo umekwazika kwa namna yoyote basi haikuwa ni yangu zaidi ya kuleta mjadala hapa jukwaani.Kila la heri na karibu sana.Kuhus Hilo la Email upo sahihi kwamba Hazionyeshi kuwa nipo serious ila kiuhalisia Nipo serious kabisa.Hii ni promo? Kama, zile hadithi za EFM kila siku, saa, moja, usiku,? Kuna, mdada huwa, anasimulia, mi, huwa, naona ni upuuzi, ni, za, kutunga, hazina, uhalisia, ila, Zika a lot of emotions, na, kuna watu wanaziamini,
Mi nilifikiri unaleta hapa, kitu kilichokutokea, kumbe ni kiki tu, za, kutafuta soko! Bro email za, Yahoo, gmail, hazionyeshi kama, upo serious, daaaa bongo kila, kitu ni janja, janja tu
100 % ni tangazoHili ni tangazo, sio???
Asante kwa swali zuri,kama umeona kitu kwenye uzi basi nimezungumzia swala zema sok au wateja. Kimsingi biashara yoyote ile inapaswa iweze kujiendesha na kutengeneza faida.Na ili ifanye hivyo lazima iwena soko/wateja/mauzo.Katika biashara ambazo nilifanya baada ya kufunga hii si kwamba hili tatizo lilitatulika bali nilibadilisha mkakati na kuwekeza na kuangalia zaidi katika kupunguza gharma za uendeshaji.Hongera kwa uzi mzuri,
Ningependa kufahamu changamoto za kukosa fedha ambazo zilikupelekea kufunga kampuni yako za kwanza, uliweza kuzitatua vipi pindi ulipokuja kufungua kampuni nyingine?.
Asante.