Siku nilipoamini kuwa CCM si ya mchezomchezo!

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,280
25,859
Kuna siku, miaka mitatu iliyopita, nilikuwa kwenye moja ya Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya mkoa wa Dar es Salaam kwa shughuli zangu za kikazi. Kabla ya shauri langu kuitwa liliitwa shauri linalomhusu mwananchi mmoja huko mtaani akipambana na Chama cha Mapinduzi (CCM) kuhusu umiliki wa ardhi iliyo na nyumba inayotumiwa kama Ofisi ya CCM.

Ilikuwa ni siku ya kusikilizwa kwa shauri hilo. CCM walikuwa wanaendelea na ushahidi wao kupitia mashahidi wao. Kuna shahidi mmoja wa CCM alijitaja kama Katibu wa CCM sehemu yenye mgogoro. Akasema kuwa alikuwepo tangu kununuliwa kwa eneo hilo na mnunuzi akiwa ni CCM. Akasema ardhi hiyo ilinunuliwa na CCM mwaka 1975. Akatoa na hati ya manunuzi inayoonesha muuzaji, mnunuzi-CCM na mwaka wa mauziano ambao ni 1975.

Akatoa ushahidi huo 'ulioshiba' mbele ya Baraza la Ardhi huku akijiamini na kusisitiza sana uwepo wake tangu mwaka huo hadi sasa ndani ya CCM. Shahidi alirudia mara kwa mara kuwa Mlalamikaji-huyo mwananchi hana umiliki wowote kwakuwa aliwakuta CCM wakiwa wameshanunua ardhi hiyo mwaka 1975.

CCM ilianzishwa tarehe 5/2/1977 baada ya kuungana kwa TANU na ASP. Surprisingly, CCM iliweza kununua ardhi, kwa mujibu wa shahidi, mwaka 1975 hata kabla haijazaliwa. Siku hiyo nikajua kuwa CCM si chama cha siasa cha mchezo mchezo!
 
Unashangaa hilo wakati wameshakula mpaka pesa za wafiwa??Mbona wamedhulumu hata majengo ya serikali??
 
Labda kwakua CCM ilitwaa title na kuthirithi mali zote, assets na liabilities, za TANU.
Kuna siku, miaka mitatu iliyopita, nilikuwa kwenye moja ya Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya mkoa wa Dar es Salaam kwa shughuli zangu za kikazi. Kabla ya shauri langu kuitwa liliitwa shauri linalomhusu mwananchi mmoja huko mtaani akipambana na Chama cha Mapinduzi (CCM) kuhusu umiliki wa ardhi iliyo na nyumba inayotumiwa kama Ofisi ya CCM.

Ilikuwa ni siku ya kusikilizwa kwa shauri hilo. CCM walikuwa wanaendelea na ushahidi wao kupitia mashahidi wao. Kuna shahidi mmoja wa CCM alijitaja kama Katibu wa CCM sehemu yenye mgogoro. Akasema kuwa alikuwepo tangu kununuliwa kwa eneo hilo na mnunuzi akiwa ni CCM. Akasema ardhi hiyo ilinunuliwa na CCM mwaka 1975. Akatoa na hati ya manunuzi inayoonesha muuzaji, mnunuzi-CCM na mwaka wa mauziano ambao ni 1975.

Akatoa ushahidi huo 'ulioshiba' mbele ya Baraza la Ardhi huku akijiamini na kusisitiza sana uwepo wake tangu mwaka huo hadi sasa ndani ya CCM. Shahidi alirudia mara kwa mara kuwa Mlalamikaji-huyo mwananchi hana umiliki wowote kwakuwa aliwakuta CCM wakiwa wameshanunua ardhi hiyo mwaka 1975.

CCM ilianzishwa tarehe 5/2/1977 baada ya kuungana kwa TANU na ASP. Surprisingly, CCM iliweza kununua ardhi, kwa mujibu wa shahidi, mwaka 1975 hata kabla haijazaliwa. Siku hiyo nikajua kuwa CCM si chama cha siasa cha mchezo mchezo!
 
Amsome BEHOLD kivipi wakati umeambiwa shahidi alisema mnunuzi ni CCM na hati iliandikwa CCM, hiyo 1975 hicho kitu kinachoitwa CCM kilikuwepo?

mkuu naona unachong'ang'ania ni neno CCM, naangalia logic ya kuwa hati imebadilishwa jina na kuwa ccm kutoka Tanu, sasa mtoa maada hajaweka docs zozote za wewe kuthibitisha kuwa hakuna supporting doc zozote na kuwa ni ccm tu

tufanye kweli basi, nchi yao, serikali yao, mahakama yao, na enzi hizo miaka ya 70 kila mtu alikuwa CCM...infact hata wangeandika mwaka 63 sawa tu, tunachojua ccm iko madarakani miaka 50

kama neno TANU na ASP ili dissolve mpaka docs zao zote ziwe hivyo who knows?

mtoa maada ni mwanasheria ila hajaweka argument yake uielewe kisheria
 
Kuna siku, miaka mitatu iliyopita, nilikuwa kwenye moja ya Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya mkoa wa Dar es Salaam kwa shughuli zangu za kikazi. Kabla ya shauri langu kuitwa liliitwa shauri linalomhusu mwananchi mmoja huko mtaani akipambana na Chama cha Mapinduzi (CCM) kuhusu umiliki wa ardhi iliyo na nyumba inayotumiwa kama Ofisi ya CCM.

Ilikuwa ni siku ya kusikilizwa kwa shauri hilo. CCM walikuwa wanaendelea na ushahidi wao kupitia mashahidi wao. Kuna shahidi mmoja wa CCM alijitaja kama Katibu wa CCM sehemu yenye mgogoro. Akasema kuwa alikuwepo tangu kununuliwa kwa eneo hilo na mnunuzi akiwa ni CCM. Akasema ardhi hiyo ilinunuliwa na CCM mwaka 1975. Akatoa na hati ya manunuzi inayoonesha muuzaji, mnunuzi-CCM na mwaka wa mauziano ambao ni 1975.

Akatoa ushahidi huo 'ulioshiba' mbele ya Baraza la Ardhi huku akijiamini na kusisitiza sana uwepo wake tangu mwaka huo hadi sasa ndani ya CCM. Shahidi alirudia mara kwa mara kuwa Mlalamikaji-huyo mwananchi hana umiliki wowote kwakuwa aliwakuta CCM wakiwa wameshanunua ardhi hiyo mwaka 1975.

CCM ilianzishwa tarehe 5/2/1977 baada ya kuungana kwa TANU na ASP. Surprisingly, CCM iliweza kununua ardhi, kwa mujibu wa shahidi, mwaka 1975 hata kabla haijazaliwa. Siku hiyo nikajua kuwa CCM si chama cha siasa cha mchezo mchezo!
kwani wewe umezaliwa lini. kwani hujui ccm kwa bara ndio tanu na kwa z'bar ndio afro shiraz. tanu ilizaliwa 1954 nina hakika wewe hujazaliwa ndio maana huelewi hii hesabu ya ccm. don't be naïve.
 
mkuu naona unachong'ang'ania ni neno CCM, naangalia logic ya kuwa hati imebadilishwa jina na kuwa ccm kutoka Tanu, sasa mtoa maada hajaweka docs zozote za wewe kuthibitisha kuwa hakuna supporting doc zozote na kuwa ni ccm tu

tufanye kweli basi, nchi yao, serikali yao, mahakama yao, na enzi hizo miaka ya 70 kila mtu alikuwa CCM...infact hata wangeandika mwaka 63 sawa tu, tunachojua ccm iko madarakani miaka 50

kama neno TANU na ASP ili dissolve mpaka docs zao zote ziwe hivyo who knows?

mtoa maada ni mwanasheria ila hajaweka argument yake uielewe kisheria
Mkuu,wewe ndiye usiyeelewa. Hati ya manunuzi ni kama niliyoisema.
 
Back
Top Bottom