I don't see your point here kwasababu hata sasahivi yange kuwa masaa 18 bado tungeishi kulingana na muda uliopo so hata tungekuta ni masaa 36 tungeishi na ku adopt hayo masaa kama yalivyo tu. So kuwa 36 na kuwa 24 still life style tulio nayo tume adopt tu kutokana na jinsi tumekuta hali ilivyo so hata kama pange kuwa hamna usiku still kungekuwa na maisha kulingana na hiyo hali.
Ili kuongeza wigo wa wazo lako hembu fwatilia majira ya giza na nuru huko Norway uta kuta wenzako jua lina waza miezi sita bila kuzama saa tano usiku jua lipo bado ni swala la wewe binafsi kucheck mda uone ni muda wa kupumzika uka pumzike sio swala kama bongo ukishaona giza unataka kulala.
So we can conclude our body and mind are designed in such a manner they can adopt to our surroundings.