Shida yangu sio kuruhusu, shida yangu nimekatamani hako kausingizi maana muda mrefu sana kamenitupa mkono.
Mimi bao la kwanza hua natumia dakika 30-40.
Kama kwa dakika zote hizo hajakojoa akatafute chupa kubwa la Uhai pure drinking water.
Unataka umpeleke[emoji41]Haufikagi mawenzi itakuwa [emoji41]
Dah ... umemaliza manenoKwahiyo ulikua unapiga Moja Chali mpaka usingizi kabisa na mbususu inakungoja. Sasa kwataarifa yako hiyo ilikua Ni dalili ya upungufu wa nguvu za kiume na saizi sio una upungufu tena ni ukosefu.
Hongera mkuu ila upunguze tangawizi kidogo aiseeeeDakika 30 mbona ni kawaida sana tu Darlin
Zamani kondom zlikua nne kwnye pakti. Wameanza kuweka tatu hivi karibuni.Mkuu hadi kidume unamaliza round ya kwanza,, Mwanamke kama to yeye anakuwa bado kabisa kufika kibo.....halafu unataka ulale kwanza ndio uendelee...
Na standard ya Dunia ni round tatu,,,ndio maana pakiti ya Condom zimewekwa tatu...ile ni kiwango cha dunia.... Ni kosa kubwa sana mwanaume kwenda chini ya hio idadi (3),,, na kuzidi round tatu ni upotevu wa Muda kipuuzi na kujiletea umasikini wa kiwango cha juu sana...
Kabla hujakamilisha hio standard ya dunia,,, usiruhusu hako kausingizi kakupate.....tumiaa Masaa yako mawili vizuri uokoe muda,,, Jali muda
Ha A ha haaaaaHongera mkuu ila upunguze tangawizi kidogo aiseeee
Amezidi kutuchota aiseeeeeeHa A ha haaaaa
Hahaha maneno ya wadau...Hongera mkuu ila upunguze tangawizi kidogo aiseeee
Vijana tuna safari ndefuNakumbuka baada ya kubaleghe na kuanza kuchakata mbususu hua kila nikipiga bao napata kausingizi flani kazito sana, yaani utamu wa kale kausingizi hua ni zaidi ya ule utamu wa usingizi wa kawaida,
hua ni lazima nitumie dakika 10 mpaka 30 na baada ya kuamka hapo nakua kama vile nime restart upya mfumo mzima wa uzazi.
Yapata miaka minne hivi sasa sikapati tena kale kausingizi baada ya tendo, je hii ni hali ya kawaida kulingana na umri unavyo ongezeka au kuna tatizo la kiafya linalopelekea hii hali?
NB: Sina stress yoyote, sina matatizo ya presha wala sukari.
Nimetokea tu kukamis kale kausingizi.