Zitto huyu aliejaa kiburi na majivuno aombe radhi? Haitakaa itokee. Ambaye anaona ni sawa tu CDM ife lakini awe wa mwisho. Anaeshangiliwa na magamba? Hawezi kuwaangusha magamba, hawezi kuwaudhi, ni heriawaudhi wanaCDM wenzie kuliko maCCM, hawezi kuwasaliti magamba na kumfaidisha Slaa na Mbowe.