Nlikua nk high san, ko nlivowek tu nlisukum mar kam 6 au 7 nkaw tyr
Bro mtu akimaliza pep akipima akapata negative result inakua na % kubwa kuwa hivoUpo salama acha woga
Ndiyo isitoshe huyo demu anamezaga dawa viral load ni ndogo.Bro mtu akimaliza pep akipima akapata negative result inakua na % kubwa kuwa hivo
🤣🤣🤣Sex chini ya dakika mbili we ni KUKU? mecheka sana asee dah!Wakuu nlileta kisa hum baada ya kusex na binti anaetumia dawa na hakuniambia, ila siku anakuja mda ulikua umeenda sana na nlitakiwa kuwahi kazini..so kwenye ile sex nlifanya chini ya dakika 2 nkawa nmemaliza ila baadae nkaambiwa alikua mgonjwa, ilikua siku iyo iyo kama masaa 3 baadae, ko ikabidi asubuhi yake niende hospital ya BUGANDO nkajieleza nkapimwa nikawa NEG nkapewa PEP ikiwa ni masaa 13 toka nifanye nae sex... dawa zimeisha nlipewa vidonge vya siku 30 na leo ni siku ya 32 nimepima asubuhi hii, na majibu ni haya👇🏾.... je nipime lini tena kwa uhakika zaidi... ila wallah nkiondokana na hili naoa au nakaa mwenyewe mazima bora niwe najichua tu🥹 nimewaogopa sana wanawake, nilimkosea sana MUNGU🙏🏼
Huyo DEMU anatumia ARV's anajijua kabisa kwanini akugee bila Kinga au jamaa Kuna kitu unaficha alitumia TENK kupata hiyo mbususu/ papuchi yakeNdiyo isitoshe huyo demu anamezaga dawa viral load ni ndogo.
Muraibu wa punyeto huyo🤣🤣🤣Sex chini ya dakika mbili we ni KUKU? mecheka sana asee dah!
Madhara ya punyeto hayo... Si. Amesema Ndio kamchezo kake! Ndio mana under 30 wengi ni wateja wa Madaktari wa Tiba Mbadala.Sex gani inafanyika chini ya dakika 2 mkuu?
Nyeto imekuokoa na Ngoma, Hongera Sananlifanya chini ya dakika 2