Toka lini iliwahi simama?hata kipindi cha mkwere ilikua inaendelea😂😂😂 Kwahy 'kazi inaendelea' eee
Kuhusu hayo wala usiwe na shaka hao anaowateua ndio watakao mpigia chapuo+media zote na wanahabari kuanzia sasa itakua ni mwendo wa kusifia tu aidha ili zisamehewe Kodi na masharti mengine ya kiuchumi+wanahabari nao ili wapate teuziMimi nawaza tu iwapo 2025 ataingia kwenye kinyang'inyiro cha kugombea, au atastaafu siasa!
Na kama atagombea, je atafuata njia ya mtangulizi wake ya kulazimisha matokeo, au ataheshimu maamuzi ya wapiga kura? Vipi ameshaanza kujiandaa kwa fitna za ndani na nje ya chama?
Atagombea. Na ameshaanza kujiandaa. Fitina za mtangulizi wake zitakuwa pale pale, japo yeye atapunguza kidogo. Nitafungua uzi kuelezea zaidi.Na kama atagombea, je atafuata njia ya mtangulizi wake ya kulazimisha matokeo, au ataheshimu maamuzi ya wapiga kura? Vipi ameshaanza kujiandaa kwa fitna za ndani na nje ya chama?
JPM nadhani alisema mtanikumbuka kwa mazuri. Au mimi ndiye nimesahau jamani!???inaweslzekana Bashiru na genge lake walikuwa sawa
Wewe na ubwabwa hamna tofauti. 2025 kinakuja chuma kipya kutoka ^Ujeremani!!!^ Bi Mkubwa arudi tu kwao PembaniAtagombea. Na ameshaanza kujiandaa. Fitina za mtangulizi wake zitakuwa pale pale, japo yeye atapunguza kidogo. Nitafungua uzi kuelezea zaidi.
Mama achomoki angekuwa anasikiliza ushauri angeanza kuandaa mtu makini wa kumuachia nchi awe kutoka upinzani au ndani ya ccmMimi nawaza tu iwapo 2025 ataingia kwenye kinyang'inyiro cha kugombea, au atastaafu siasa!
Na kama atagombea, je atafuata njia ya mtangulizi wake ya kulazimisha matokeo, au ataheshimu maamuzi ya wapiga kura? Vipi ameshaanza kujiandaa kwa fitna za ndani na nje ya chama?
Fomu ya kuomba kugombea urais ndani ya ccm itaandaliwa moja tu kama enzi za mwendazake.Wewe na ubwabwa hamna tofauti. 2025 kinakuja chuma kipya kutoka ^Ujeremani!!!^ Bi Mkubwa arudi tu kwao Pembani
Hana ubavu wowote wa kusimama 2025 hata angeachiwa tu kwa huruma. Huo ndio ukweli mchungu ambao vifaranga wa Bi Mkubwa hawataki kuambiwa wala kuusikia.Fomu ya kuomba kugombea urais ndani ya ccm itaandaliwa moja tu kama enzi za mwendazake.
Chuki zako kwa mama na mfumo dume utakuua wallah!Wewe na ubwabwa hamna tofauti. 2025 kinakuja chuma kipya kutoka ^Ujeremani!!!^ Bi Mkubwa arudi tu kwao Pembani
Jana ni siku 100 au 90?Ni dhahili mh. Rais ameamua kuuzima mjadala kwa makusudi wa kudiscuss Siku mia moja katika ofisi ya jumba jeupe.
Bila shaka Jana tarehe 19 ndo zilkua zinatimia hivyo ili kuzima mjadala ameamua kutangaza mkeka wake wa madc ili tujikite kuujadili badala ya kudiscuss utendaji wake ndani ya Siku 100.
Kwanini kafanya hivyo?
Kwani wame anza kuteuliwa awamu hii?Hili la kuteua wasanii, watangazaji na wanamitindo kuwa ma DC limenisikitisha mno.
Hivi kweli kabisa tunataka kumkomboa mtanzania kwa kutumia watu wenye background za Aina hii??
Wazee wa Chama Changu CCM mko wapi??
Tunakwenda wapi kama chama na Taifa??
Nikudokeze tu kidogo. Kwenye chama Sasa ameweka watu wake. Aliwatoa Bashiru na Polepole kwa kuwapa ubunge, jana amewatoa Heri James na katibu wake kwa kuwapa uDC.Hana ubavu wowote wa kusimama 2025 hata angeachiwa tu kwa huruma. Huo ndio ukweli mchungu ambao vifaranga wa Bi Mkubwa hawataki kuambiwa wala kuusikia.
Kwa kifupi tu bado kwenye vyombo vya dola, na jeshiNikudokeze tu kidogo. Kwenye chama Sasa ameweka watu wake. Aliwatoa Bashiru na Polepole kwa kuwapa ubunge, jana amewatoa Heri James na katibu wake kwa kuwapa uDC.
Ila kweliJana ni siku 100 au 90?
Hili la kuteua wasanii, watangazaji na wanamitindo kuwa ma DC limenisikitisha mno.
Hivi kweli kabisa tunataka kumkomboa mtanzania kwa kutumia watu wenye background za Aina hii??
Wazee wa Chama Changu CCM mko wapi??
Tunakwenda wapi kama chama na Taifa??