Sikiliza Radio za Tanzania

Sikiliza Radio za Tanzania

Kusililiza ktk Radio, computer au simu? Je, kusikiliza free bila makato ya...?
 
Kusililiza ktk Radio, computer au simu? Je, kusikiliza free bila makato ya...?

wewe bofya hapa kwenye www.radiostationstz.com halafu uchague kituo cha radio uanchotaka kusikiliza bila malipo yoyote wala gharama yoyote ya ziada. wale wenye simu zenye intaneti wanaweza kudownload na kusikiliza radio hizi bila ya malipo ya ziada.
 
Hata mimi sipati kitu ila plain screen,Labda katika computer inaweza kuwa fresh.
 
Sasa unaweza kusikiliza vituo vya redio 17 kwenye Intaneti kupitia www.radiostationstz.com kwa muda wa masaa 24 kila siku bila kukatwa katwa. Utaweza kupata habari za matukio mbali mbali nchini Tanzania na duniani kote kutokea sehemu mbali mbali za Tanzania.

asante, nilikuwa natafuta kitu kama hii muda mrefu sikuipata. Hongera kama ni ya kwako.
 
safi sana.....nadhani ni vizuri ss zikaongezwa radio station nyingine zaidi
 
sisi tungependa kuziweka Radio zote 86 za Tanzania, ziweze kusikika kwenye intaneti lakini wamiliki wengi wa radio hizo hawajawa tayari!! Tunaamini kuwa wasikilizaji mnaweza kusaidia na kuwajulisha Wamiliki wa vituo vya radio kuwa nyinyi mnasikiliza radio kwenye internet zaidi kuliko kupokea matangazo kwa njia nyingine!
 
Back
Top Bottom