Sijui tumuamini nani

Tumwamini Mzee wa Chato. Waliopita wote walikuwa majizi. Hata Ikulu walitaka kuiuza sijui angekaa wapi Mzee wa Chato!
 
Kila zama na kitabu chake. Kwa Sasa mwamini aliyeshika hatamu
 
Jibu la hakika;
USIAMINI MWANA SII HASA!
 
aisee huyo aliyepinga ufisadi uliopita it turns out kuwa yeye ndio kinara wa ufisadi,na mpaka kipindi cha miaka kumi kipite jua tumekwisha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…