engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
Wana JF
The Honorable Minister Louis Farrakhan, of the Nation of Islam jana aliwaeleza kinaga ubaga bila kumung'unya maneno ile tabia yao ya kupambana na viongozi wa Africa wanao onekana wapo kinyume na matakwa yao,alimtaja Mzee Mgabe na Gadhafi kuwa ni vidume wa bara la Africa wasio buruzwa na malengo machafu ya USA,
Na aliwaeleza kuwa nyoka akijivua gamba hatabadilika kuwa ni sungura
Nisimalize uhondo ebu sikiliza mwenyewe uone kidume kinavyo jitutumuwa
Watu hawauzi sura bana,wapo kazini

Last edited by a moderator: