Sijui nipoje ndugu zagu.

jjs2017

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
2,027
Reaction score
4,316
Habari ndugu zangu.

Mimi sijui na shida gani wakuu, yani nimekua nikipenda sana wanawake weupe au maji ya kunde yani nikikutana na wanawake weupe najikuta na simamisha mkuyenge mara kwa mara na hisia zina hama kabisa ndugu zangu,

Nikiwa 6*6 na mwanamke mweupe au maji ya kunde nitamkula kisawa sawa hadi akome ila inapotokea nipo na mwanamke mweusi nakua sina ufanisi na nikijitahidi sana ni viwili vya tabu sana wakuu

Swala hili limekua sana likiniathiri utendaji wangu wa kazi kwani anapopita mwanamke mweupe akili inahama kabisa na kujikuta na duwaa kwa kumuangalia mpaka anaondoka na wakati mwingine nimekua nikiwatongoza sana na kuwachangamkia haswa bila kujali mazingira niliyopo na hii inapelekea sana mabinti weusi kunichukia na kuninunia kweli kweli na kuniona kama na wadharau sana ..

Nifanyeje hii hali inipotee
 
Punguza selectivity mchagua jembe SI mkulima
Mkeo mweusi apapata vijana watamshughulikia ipasavyo adi uvunguni mwa kitandaπŸ˜‚πŸ˜‚ wakati huo wewe uko bize na wanawake weupe
 
Punguza selectivity mchagua jembe SI mkulima
Mkeo mweusi apapata vijana watamshughulikia ipasavyo adi uvunguni mwa kitanda[emoji23][emoji23] wakati huo wewe uko bize na wanawake weupe
Sijaoa bado
 
Wasukuma bwana, nyinyi ndiyo mnafanya dada zenu wajiharibu kwa kujichubua matokeo yake siku hizi wanashindana kunyoa ndevu na nyinyi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…