sijui nijibuje???

kapesly

Senior Member
Jan 1, 2017
163
250
Kuna dem nimemtongoza miaka miwil na miez miwl sasa nilikutana nae mbeya, aliniambia akimaliza shule atanijibu haswa akiwauliza wazazi wake walioko pwani,...

Juzi kanitext "mpenzi uwezi amin mama na baba wamekukubalia, hata kakangu yule nilikwambiaga ni msumbufu,,na yeye amekubali"
Mm: " wao real am in a"
Dem: "kweli. Jaamani"
Mm: " enhee
Dem : " ndo hivyo,ila wanasema eti uje huku him wakune"
Mm: '' (kwakihelehele) amina hiv kwenu ni kibaha ya wapi?
Dem: "Kibiti mpenzi" tena nw tumeamia huku kwenye nyumba mpya pembezoni ya mji,kumetulia yaani kunahewa safi hata mchana hakuna fujo utapapenda"
Mm: "hiv unafaham now sina nauli, sikuhadithia juzi nilipoteza pochi na VISA ya kusafilia"
Dem; " jamani kuhusu nauli hisihof nakutumia now, sawa hubby"
Mm; "kimyaa"
Dem: "mpenzi nimetuma, umeiona hiyo elfu hamsin"
Mm: " kimya(huku nikiwasiliana wa mtandao kua aliyenitumia pesa kakosea, so naomba wamludishie)"
Dem: "baibe mbona kimya, au haikutosh nimuoombe rafiki yangu yule nilikwambia uwa wanamishale kwao wakati baba kanunua shortgun"
Mm: "Kimya"
Baada ya sec kadhaa
Dem; "jamani mbona wameiludisha pesa,,,na wakati nimeshamwambia kaka unakuja, na hapa yupo anachinja kuku kwa panga,"
Mm: "kimya"
Dem : "jamaani mbona unafanyia hivyo , au unashida yoyote, au bado unawaza visa na passport, maana ulisema umepoteza sijui ulikuwa unataka Wenda WAP"""
Mm: " kwa hasira "NIPO SOMARIA, natud siku magu akifika kbt"
Dem: "jamani umeenda Lin"
Mm: *kimya*
Dem :''siamin kama Leo upon vizur"
Ameamua kuni videocall watsap
Sasa ndo nawaza ni mjibuje
Maana tirafk wenyewe, wameamshiwa dude mm je
Ushauli wako plZ
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom