Watu waliorogwa bhana..[emoji28]
Daaah wengi wapewe aiseeKulogwa kubaya sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my EML-L29 using JamiiForums mobile app
Mzee baba mwanaume ww acha kulia lia kama demu anazingua kuna mawili ya kuamua either umuache au
uendelee kuumia demu kashajua upindui hiyo ndo shida kaza moyo muache kama week bila kumtafuta alafu fanya
mambo mengine ya kusaka hela lazima akutafute ata ikipita miaka atakutafuta madem wanamtindo wa kwenda
na kurudi so kama amekupenda atarudi kaza mambo mengine hayaitaji ushauri
Sent from my EML-L29 using JamiiForums mobile app
Huyo mwanamke anakupa kipi Cha tofauti. Umefanya kosa kubwa Sana kumpenda.
Huyo anaye mwanaume wa roho yake, Sasa maji yakipoa kule anapeleka ndoo , yakitibuka anajirudisha kwako.
Wakielewana anakwambia umuache.
Mzee kukikucha ndege haamshwi.
Huwezi kulazimisha penzi usipopendwa, kwann uteseke na mtu asiyekupenda? Unaposema bado unamupenda hapo ndo kwenye changamoto, hata ushauriwe vip huwez kuelewa sababu unampenda Sana...
Ukijua kupenda jua na kuacha.