Mimi ndio huyo dada aliejiinamia hapo...
tuna mahb huku bwana loh? wamenitia moyo.Mimi ndio huyo dada aliejiinamia hapo...
Ndio ndio AshaDii! Bora tumekuona bila ushungi shosti!
daaah wazuri balaaa dah wallah lazima nitoke na kifaa kimoja hapo.jamani yeyote hapo kwa photo anipm hata nyumba ndogo loh
daah afadhali MUNGU MKUBWA NIFANYIE MPANGO BASI MY DEAR SISNawafahamu woote hao... Watano hapo ni mabachelor huna haja ya kua nyumba ndogo...
mwa j umeona vifaa ivo ? Tusipotoka humu basi tenandio ndio ashadii! Bora tumekuona bila ushungi shosti!
kivipi?kumbe kuna kujuana humu jf ndo maaana post zangu hazina wateja!
mpm max mkuu atakupa utaratibuhizo tshirt zinapatikanaje?
dahhh!!! siamini AD!!!Mimi ndio huyo dada aliejiinamia hapo...