B'REAL JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 4,582 Reaction score 3,272 Oct 3, 2014 Thread starter #21 the end.. said: zimbabwe: Mama aamua kufunga ndoa na kijana wake wa kumzaa. Tayari ana mimba yake ya miezi 6. View attachment 190180 source hii hapa: zimbabwe: Mama aamua kufunga ndoa na kijana wake wa kumzaa. Tayari ana mimba yake ya miezi 6. - tulonge Click to expand... hii ni hataree
the end.. said: zimbabwe: Mama aamua kufunga ndoa na kijana wake wa kumzaa. Tayari ana mimba yake ya miezi 6. View attachment 190180 source hii hapa: zimbabwe: Mama aamua kufunga ndoa na kijana wake wa kumzaa. Tayari ana mimba yake ya miezi 6. - tulonge Click to expand... hii ni hataree
B'REAL JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 4,582 Reaction score 3,272 Oct 3, 2014 Thread starter #22 The End.. said: dada kamtaka kaka na kaka naye kasema ondoa shakaaa!!!!!! Click to expand... dah..na ushuanii ndo zipo sana hizi ndani ya mageti makali.dada na kaka ku.........mpaka mimba dah
The End.. said: dada kamtaka kaka na kaka naye kasema ondoa shakaaa!!!!!! Click to expand... dah..na ushuanii ndo zipo sana hizi ndani ya mageti makali.dada na kaka ku.........mpaka mimba dah
M Mkempia JF-Expert Member Joined Mar 5, 2013 Posts 1,142 Reaction score 462 Oct 3, 2014 #23 Aisee, kuna makabila mengine ya raha sana. Mie kabila yangu binamu kama ni wa kiume ni mjomba akiwa wakike ni mama tena unaamkia kabisa shikamoo haijali ni ana miezi miwili, au mwaka maadamu ni ujombani haiswii kabisa.
Aisee, kuna makabila mengine ya raha sana. Mie kabila yangu binamu kama ni wa kiume ni mjomba akiwa wakike ni mama tena unaamkia kabisa shikamoo haijali ni ana miezi miwili, au mwaka maadamu ni ujombani haiswii kabisa.