Ni kweli inaruhusiwa ila mim mungu aniepushie sitaki bibamu wala mtoto wa mama mkubwa
Hiv mama facebook una mchumba?
WAKUU HABARI ZA IJUMAA.ngoja niende moja kwa moja.NAJUA WENGI MNAJUA HUU USEMI BINAMU NYAMA YA HAMU.hivi kumlala binamu sikama kumlala ndugu yako,japo naskia katika kuruani kitu kimealalishwa mnaweza kuowana,pia naskia kwenye kuruani wamesema waweza kumuowa mtoto wa mama mdogo au mkubwa eti kwa vile sio ndugu zako.mifano hai ona warabu wanachukuana wao kwa wao baba mdogo na mama mkubwa.pia naskia kina ammii nao pia wanaowana wao kwa wao. point yangu ni hii kwa style hii kamafamilia au uko wenu vilaza,mkiowana nyie kwa nyie si mtazidi kuzalisha vilaza. HII MNAONA IMEKAA JE WADAU
Kwa hiyo unataka kumaanisha ukilaza unarithiwa ??
Sio kuruani sema QURAN
Pili ningependa kukufahamisha hata ukioa huyo wa nje kama ni kilaza basi mtakuwa vilaza...Km wote mnaakili mtakuwa na watoto wenye akili..so haina tofauti..
Kuruhusu kuoa ndugu wa hivi si Dini tuu huruhusu bali pia hata baadhi ya makabila ya Kiafrica mengi tuu, na si waarabu peke yao.
Ni kuwa japo sijui vizuri najua kidogo...Nasaba ya upande wa mama sio sana Ila ya upande wa Baba ndio sana...Mtoto wa upande wa baba yako ni ngumu kumuoa coz nyie wote ni kama nasaba moja...Jina litaenda lile like kama wew unaitwa Juma Haji basi watoto wooote mtakuwa mna ubin wa Hajj....Ila kwa upande wa mama hakuna hiyo..
ziko sababu nyingi tuu zenye kuweza kujitosheleza ila tu kwa sisi ambao hatujasoma sana haya mambo ni ngumu kuelezea tutaweza potosha wengine...Kwa anayefahamu vizuri karibu

Wala haurithiwi basi tuu huyo....
Kwani mwana umleavyo ndivyo akuwavyo....Ukimlea kiukilaza ndivyo atakavyokuwa kilaza
ASANTE kwa marekibisho...nimefurai maana umejaribu.kueleza uwalisia.we kwa mtazamo wako kama illuh unaonaje
ila mimi sielewi ukilazwa unapimwaje sijawahi kuona mtu mbumbumbu wa kila kitu ila baadhi ya vitu
hahahaha yaani wewe huwa ukiongea maneno yako napata picha na hilo tabasamu lako na mdomo wako hapo katk wall....huwa natabasam mwenyewe
Ila kuna vilaza wengine duuuhhh karibia kila kona ....japo wachache...Wengine utakuta kilaza ktk hiki, smart ktk kile...
Yategemea na wewe umelenga kumhitaji ktk nini basi akifail utasema kilaza wa kitu fulani...