angomwile Senior Member Sep 10, 2011 116 62 Oct 15, 2011 #1 Jamani mwenzenu napenda sana kupiga chabo yaani nikiona mwanamke ameingia bafuni au chooni au anavaa nguo lazima nimchungulie yaani nasikia raha sana!mnisaidie niache hii tabia wadau!!
Jamani mwenzenu napenda sana kupiga chabo yaani nikiona mwanamke ameingia bafuni au chooni au anavaa nguo lazima nimchungulie yaani nasikia raha sana!mnisaidie niache hii tabia wadau!!
Likwanda JF-Expert Member Jun 16, 2011 3,910 1,131 Oct 15, 2011 #3 Duh, Just Imagine na mimi naenda kumpiga chabo mzazi wako utajisikiaje? ukishapata jibu acha hiyo tabia kabisa.
Duh, Just Imagine na mimi naenda kumpiga chabo mzazi wako utajisikiaje? ukishapata jibu acha hiyo tabia kabisa.
Mshume Kiyate JF-Expert Member Feb 27, 2011 6,766 894 Oct 15, 2011 #5 Angalia ipo siku utampiga chabo dada yako wewe jiendekeze!
DEVINE JF-Expert Member Mar 11, 2011 536 86 Oct 15, 2011 #6 Endelea 2 cku wakupige bisibisi ya jicho.