ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,490
- 8,305
we maandazi kweli.Ndiyo hivyo yaani. I wish I were a teacher. Si mnaona sasa hii kitonga ya siku thelathini inavyonipita kifala tu yaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha
Hata hivyo kuna wiki mbili za pasaka..ambazo huwa ni za kawaida..kwahyo ni kama wiki mbili tu za ziada..
Watu hawafuatilii mambo..mkuu.Nimeshangaa hata walimu wenyewe hawalijui hili. Na kwa mujibu wa calendar ilikuwa tarehe 6 April wafunge shule
Sent using Jamii Forums mobile app