Sijui kwanini nimeumia hivi

Pole sana,Mungu mwema atakulipa kwa wema wako.
 
Hahahaha! The world is fuked up. Nice!
 
Wewe lazima utakuwa mtoto wa kike aisee. Sababu ndio viumbe mnaoongoza kwa kujifariji kama hivi.
 
Asante kwa ushauri mzuri mkuu, barikiwa sana
 
Asante mkuu, walau umenielewa
 
Fanya wema nenda zako hayo mengine mwachie mwenyewe tayar una fungu lako sehemu maana dhamira Yako ilikuwa njema na kwa Kukaa kwako kimya ni jibu moja ambalo litamchoma maisha yote hapa duniani.
Kwakweli
 
Kweliii mchane utakuwa sawa
 
Nimeumia sana mkuu, ameshindwa kunishukuru basi hata angenipigia Simu anijulishe kama wanaendelea vizuri.. Nimeumia haki ya Mungu tena[emoji3064]
Ingratitude is like a weed it grows naturally but
Gratitude someone must learn from others hata yesu aliponya watu ukoma ila mmoja tu ndio aligeuka nyuma so just move one mkuu ndio binadamu walivyo
 
SINA, HAIWEZEKANI, toka niiweke hii misamiati miwili kichwani mwangu naishi vizuri na wananzengo wenzangu.
 
Unapopata nafasi ya kumsaidia mtu furahi kwa kuwa Mungu amejubu maombi yake kupitia wewe[emoji120]
 
Achana nae tenda wema nenda zako hapo kata mawasiliano nae kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…