Sijui kwanini, ila kila nikimtizama Waziri Biteko, ninaona picha ya Urais kwake

Itachukua mda kidogo kuwarudisha wasukuma pale japo mnasema huyo jamaa siyo msukuma lakini ndiyo walewale
Kuna wanaosema Makonda atakuwa rais nawaona pia wana akili nyepesi sana
 
Sawa. Pia inafaa tuwe makini sana na kuzingatia onyo/angalizo la cdf.
 
Kila nikimtazama namwona kama mgeni.Kafanania sana kule kwa kagame.
 
Hakuna lolote
Akikaa kwenye kiti ndo utaelewa kuwa naye ni walewale
 
Labda rais wa akudo sound mzee
 
Muda wa kampeni mbona bado.
 
Wafuasi wa yule ibilisi toka ibilisi yule apigwe pin na mwenye dunia yake wamechanganyikiwa kabisa wamebaki kuweweseka tu.
 
Zamu ingine ya warundi?manake Mpango na Biteko ..sio ndo wote wa.....?
Hii nchi ukijadili sana huyu katoka wapi unakuja kujikuta kumbe na wewe Babu yako alitokea nchini CHAD au Benin.Mkimalizana na akina Dr.Mpango na Dr.Biteko mtakuja kugundua kuwa Mwalimu Nyerere naye ana asili ya Rwanda na Wangoni wana asili ya Afrika Kusini.
Kinachotakiwa ni kuhakikisha kuwa systems zetu zinaendeshwa na vijana Wazalendo wa dhati kabisa,anaweza akawa ana asili ya Urundi lakini akawa mzalendo kuliko ata Mgogo wa Dodoma.
Kikubwa vyombo viendelee kufuatilia nyendo za kila mtu amabaye vinamshuku kuwa ni wakala wa taifa lingine.
Mbona Ristam ni Agent wa CIA Afrika Mashariki na kati,mbona hamumsemi!!
 

Hafai hata kidogo.

Kwanza angekuwa kwenye nchi zenye mifumo imara, sahizi angrkuwa au gerezani au anaripoti mahakamani.

Fuatilia utambue asivyo mwadilifu. Hajaachwa kwenye rushwa kama walivyo viongozi wengi wa CCM na Serikali, lakini amejinufaisha sana yeye binafsi kwa kudhulumu leseni za watu za madini na kisha kuwagawia Wanyarwanda wenzake ambao kisha huwapangisha maeneo hayo wanzania ambao kila wanachozalisha, yeye anachukua kupitoa hao wanyarwanda aliowagawia hizo leseni.

Majaliwa January, Mwigulu, nao siyo wasafi hata kidogo.

Kwa kipimo cha uadilifu, ndani ya CCM ni aheri Dr. Mpango.

Kwa upinzani, Tundu Lisu, ni kati ya watu wasafi, na ni jasiri. Maana nchi hii iliyojaa waovu, kuimudu, pamoja na sifa nyingine, lazima uwe jasiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…