Love Ismail
Member
- Jan 11, 2014
- 35
- 4
Tafuta mwanaume mwambie akutongoze wewe akiweza mpaka ukikubali itakua ushajua coz utacopy maneno yote
daaaa jamani kwel watuwengine tunauoga ambaohaunakifan
topc:nikwel mimwenzenu sijuikutongozamadem nilionao huwanawapatakutokana na ustarabuwangu na nilivyo mpolemwenyekufurahisha
nifundishen yaaan minimuoga wakusimama na mwanamke na kuanza kutongoza nitashuruku thana
Tafuta mwanaume mwambie akutongoze wewe akiweza mpaka ukikubali itakua ushajua coz utacopy maneno yote
Nipen mistary nikisimama nae nianze vip yaan nianze kuongeaje daaa nikijua watanikoma wanaishobokea sana