Ranks JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 2,583 Reaction score 1,098 Dec 24, 2016 #2 Ayaa!C useme tu ni uncle mkali anajaza maji kwenye pakacha.
U UDSM Alumni JF-Expert Member Joined Jan 25, 2015 Posts 2,563 Reaction score 1,393 Dec 25, 2016 #4 Namba aliyoisoma ni hatari
elineema William JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 576 Reaction score 288 Dec 25, 2016 #5 Saa zngine n mawazo wala sio bangi akiwaza maisha alioishi nyuma na saiv lazma ufanye kituko cha kufungia mwaka
Saa zngine n mawazo wala sio bangi akiwaza maisha alioishi nyuma na saiv lazma ufanye kituko cha kufungia mwaka
Nimkimbilie nani JF-Expert Member Joined Nov 23, 2016 Posts 6,395 Reaction score 6,850 Dec 26, 2016 #6 Hahahaha
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,008 Reaction score 31,816 Dec 26, 2016 #7 Hapo katumia usemi usemao kuvuja kwa pakacha naye anataka asipate kazi ngumu ya kubeba
busy bees JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 2,249 Reaction score 1,348 Dec 26, 2016 Thread starter #8 Ranks said: Ayaa!C useme tu ni uncle mkali anajaza maji kwenye pakacha. Click to expand... ndo bangi yenyewe hiyo
Ranks said: Ayaa!C useme tu ni uncle mkali anajaza maji kwenye pakacha. Click to expand... ndo bangi yenyewe hiyo
busy bees JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 2,249 Reaction score 1,348 Dec 26, 2016 Thread starter #9 Bwanshe56 said: Namba aliyoisoma ni hatari Click to expand... Kumbe kasoma namba eeee ....
busy bees JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 2,249 Reaction score 1,348 Dec 26, 2016 Thread starter #10 Mndali ndanyelakakomu said: Hapo katumia usemi usemao kuvuja kwa pakacha naye anataka asipate kazi ngumu ya kubeba Click to expand... " ........ nafuu ya mchukuzi ..." anabeba chombo kitupu kisicho na maji anasepa [emoji1] [emoji1] [emoji1] nmeipenda hiyo
Mndali ndanyelakakomu said: Hapo katumia usemi usemao kuvuja kwa pakacha naye anataka asipate kazi ngumu ya kubeba Click to expand... " ........ nafuu ya mchukuzi ..." anabeba chombo kitupu kisicho na maji anasepa [emoji1] [emoji1] [emoji1] nmeipenda hiyo
Ranks JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 2,583 Reaction score 1,098 Dec 26, 2016 #12 busy bees said: ndo bangi yenyewe hiyo Click to expand... Ama kweli,WATANZANIA wachape kazi waache mambo ya sport sport,na hamna cha bure hapa.
busy bees said: ndo bangi yenyewe hiyo Click to expand... Ama kweli,WATANZANIA wachape kazi waache mambo ya sport sport,na hamna cha bure hapa.