Sijawahi kujihusisha na uchawi, Je! naweza kulogeka?

Watu wengi wanafikiri mtu akilogwa ni akili kuvurugika au kuumwa magonjwa yasiyopona au kupata ajali na kufa.

Kwa taarifa yako zaidi ya asilimia 75 ya Wataanzania wote walishalogwa kabisa kabisa, asilimia 23.6 baada ya muda nao ulozi utawapata.
 
Wengi wanatamba kuwa hawaini uchawi,uchawi ni imani tu, mambo yao yanawaendea vizuri tu, lakini anasahau alivokuwa mimba mamake alitumia dawa za kinga,alivokuwa mchanga alivalishwa likamba jeusi lina mafundo kibao kiunoni na mkononi,na ulivomkubwa mamake anatumia dawa ili mwanae huko alipo mambo yambyookee.
 

Teh! Falsafa ngumu sana hii.
 
Unarogeka kaka wanarogwa watoto wadogo wasio jua waganga wewe muombe mungu akuepushe na husda za wanadamu
 

Hapo sawa.
 
Nami Nasema "Ukimuona Mtu Anapiga Vita Sana Uchawi Jua Yeye Ni Miongoni Mwa Wafuasi Wa Uchawi, Pia Ukiona Mtu Kila Kitu Anawaza Uchawi Tu Basi Kwao Kuna Wachawi Na Yeye Mwenyewe Ni Mchawi... wanajikinga Kwa Maneno Mazuri Ya Jina La Allah, jina la Mtume Na Jina La Yesu Wasijulikane Lakini Mtatudanganya Sisi Hamtamdanganya Mola Wenu To All Religious Witches


"Rakims"
 
Wadau naomba kujua kama uchawi upo kweli na nini hasa husababisha wachawi kumshambulia mtu? Na namna ya kujikinga nao.
 
Natoa hi kwa wazee na vijana, uchawi upo na anae ponya ni Allah pekeake waganga nisababu tu, na mganga wakweli ni yule anaeanza kukutibia na pesa unamlipa baadae.
 
Uchawi haupo, umeandikwa kwenye biblia Kwa sababu biblia ni vitabu kama vilivyo vitabu vingine
 
IPO hivi umeme hauwezipenya kwenye kizuizi mfano plastics au Mbao ,lzm kuwe na kiunganishi( hofu,woga,kutenda dhuluma nk maouvu yote).uchawi upo uamini usiamini lkn ili ukudhuru ni lazima uwe na connection yaani kwanza ni lazima uwe na uoga au hofu ya kuamini katika kurogwa,huwezi logeka km hauamini ktk ulozi,hakuna MTU mwenye uwezo wa kumloga MTU isipokuwa anaerogwa lazima aamini ya kuwa anaweza logwa au anaejihusisha na mambo ya kishirikina kuwa mchawi au kwenda Kwa waganga au kujihusisha na mambo ya madawa pale unakuwa umeweka connection, yaani kuruhusu wwe kuunganika na nguvu hasi unaziruhusu mwenyewe kujidhuru,ndo maana mchawi usumbua waoga akiingia ndani ukaogopa akutishapo ndo Furaha yake, lkn akiingia ukawa unamuangalia tu unamuacha afanye yake hawezi rudi tena,kinga ya uchawi ni kushikamana na imani yako ya dini,au kuyapuuzia kutoyaamini mambo ya kishirikina unaishi Kwa amani.Mifano hai wengine tumerogwa tangu hatujazaliwa had leo tunarogwa lkn mambo yetu yanatunyookea ni Kwa sababu atuamini hayo.Cha kukusaidia tafuta Vitabu au elimu za nguvu za asili uone zitendavo Kazi .power of positive thinking. Ungekuwa na nguvu ungeweza kuwasaidia waafrica wasichukuliwe utumwani au kutawaliwa na wakoloni ,lkn hawakurogeka sababu wale hawakuamini ktk uchawi.
 
Jamii nyingi ziaminizo uchawi ni duni kimaendeleo pia angalia hata mikoa yao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…