Sijawahi kuhonga

Unatongoza mabeki 3 ndio maana.
Light skinned babes costs a nigga money. Tatzo bado mwanafunzi.

Sio kuhonga in such, ni vile uwe unatoa matunzo. Ukiambiwa uwe unalipia bundle zake za simu monthly si utakimbia ww ??
 
Mara ya mwisho nakumbuka nimemtoa Wifi Yenu Out.Tuligawana Majukumu.Kama mimi talipa Nauli basi Yeye anunue chakula,Nashkuru alikuwa muelewa akafanya hivyo.

Hapo mwingine si angegharamikia vyote....!!


Via Sihongi Mimi

Indirectly huwa unahonga mara kumi zaidi bila kujijua! Eva ni level nyingine kabisa ndugu!!! Shikamoo jinsia pinzani
 
Kwangu kuhonga jambo la kawaida sana.Sjui kwasababu pesa kwangu si tatzo!!
 
Unatongoza mabeki 3 ndio maana.
Light skinned babes costs a nigga money. Tatzo bado mwanafunzi.

Sio kuhonga in such, ni vile uwe unatoa matunzo. Ukiambiwa uwe unalipia bundle zake za simu monthly si utakimbia ww ??
Senior Boss ogopa sana hao wadudu, jamaa yangu alikuwa na mchumbaake bahati nzuri kabla ya ndoa binti akapata scholarship ya Britain miezi sita lakini kabla ya kuondoka wakaapizana kuwa kila mtu akifungie 'kimbelembele' mpaka watakapoonana tena, ikawa hivyo na binti akakwea pipa
Huku nyuma jamaa alikuwa na beki3, mchafu mchafu halafu mbaya wa sura na umbo lakini mnyenyekevu hasa....jamaa aliweza kusurvive siku 45 tu baada ya hapo akaanza kuingia tamaa kwa housegirl ....mdogomdogo jamaa akawa anapona kiaina, kila pepo la tamaa likisimamia ukucha jamaa analitulizia kwa beki3
Miezi sita ikapita, binti anarudi na maandalizi ya harusi yakaanza...ndio hapo housegirl akafunua makucha yake akamwonyesha jamaa vyeti vya hospital ana ujauzito wa miezi 5+....Akamwambia baba mimi sitaki kukuharibia ndioa yako kama tukielewana ninachohitaji toka kwako ni milioni kumi tu na hutakaa unione tena
Yule mtoto alikuwa jambazi yaani tulichukua karibia wiki kumuomba achukue tulichonacho akakataa kabisa japo alifika m8, mbaya zaidi alikuwa na ushahidi wa picha akiwa na baba chumbani uchi kabisa
Jamaa ilibidi akope kwa siri bank na kumalizana na yule beki3 tena kwa maandishi....leo hii jamaa ukimtajia beki3 asipokuita ndorobo kakuheshimu
 
Last edited by a moderator:

Hahaha naelewa man. It happens....ila kama mfuko unaruhusu matunzo kwa mama watoto si haba ni vile ajue kutafuta pia. Alaf wapo ma beki 3 wengine wamejahaliwa balaa....design wakipata matunzo kidogo utapenda.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha naelewa man. It happens....ila kama mfuko unaruhusu matunzo kwa mama watoto si haba ni vile ajue kutafuta pia. Alaf wapo ma beki 3 wengine wamejahaliwa balaa....design wakipata matunzo kidogo utapenda.

Hahhahaaaaa ugonjwa wa watu huo..humwambii kitu kuhusu mabeki3
 
Kwanza umetudharau sana wanaume et "WiFi yenu" futaaà
 
Duuuh,, umesema huongi? Wengi wanaosema sihongi au kulalamika kuhusu kuhonga ujue hawana kitu.. Lakini swala la kuhonga la kawaida sana,, ni jambo la matunzo tuu hiloo,,, utasikia ““ boo kuna magauni fulani hivi yametoka mazuri teh teh teh nayapendaje ““ sasa kama huna hela wanaume wenzio watakusaidia...

““ light skinned babes costs a nigga money‘‘ by seniorboss
 
Last edited by a moderator:

Inategemea na type/class ya huyo binti uliye naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…