kalamu na karatasi
Member
- Jul 26, 2015
- 49
- 30
Sawa. Sasa kwani hili ni jukwaa la kutangazia nia ya kutohonga?Via Sihongi Mimi
Mi nakumbuka mwaka 1979 nikiwa Romania nikichukua shahada yangu ya uzamili katika uhandisi umeme nilikuwa nawahonga sana wachuchu wa Kiromania.
Kuna wawili niliwazalisha lakini nikaja kupoteza mawasiliano nao. Watoto niliowacha huko Bucharest walikuwa ni wa kike.
Majuzi hapa wakanitafuta huku JF baada ya kuona ID yangu ya Richard Mugizi wakanitumia PM.
Sikujua kumbe sasa hivi mimi ni babu bana. Nina wajukuu watatu.
Nimefurahi sana kusikia habari kuwa nina wajukuu.😱
1979? shahada ya uzamili? Shikamoo babu.
mkuu vipi kuhusu hao wajukuu..milango ya posa iko waziMi nakumbuka mwaka 1979 nikiwa Romania nikichukua shahada yangu ya uzamili katika uhandisi umeme nilikuwa nawahonga sana wachuchu wa Kiromania.
Kuna wawili niliwazalisha lakini nikaja kupoteza mawasiliano nao. Watoto niliowacha huko Bucharest walikuwa ni wa kike.
Majuzi hapa wakanitafuta huku JF baada ya kuona ID yangu ya Richard Mugizi wakanitumia PM.
Sikujua kumbe sasa hivi mimi ni babu bana. Nina wajukuu watatu.
Nimefurahi sana kusikia habari kuwa nina wajukuu.😱
Mara ya mwisho nakumbuka nimemtoa Wifi Yenu Out.Tuligawana Majukumu.Kama mimi talipa Nauli basi Yeye anunue chakula,Nashkuru alikuwa muelewa akafanya hivyo.
Hapo mwingine si angegharamikia vyote....!!
Via Sihongi Mimi
mkuu vipi kuhusu hao wajukuu..milango ya posa iko wazi
Teh teh teh...yeah....kila mmoja milioni mbili unusu....advansi milioni moja.
teh teh ..basi mi nachukua wote mkuu..ila hakuna biashara ya mali kauli..naona vyombo kwanza ndo natoa mpungaTeh teh teh...yeah....kila mmoja milioni mbili unusu....advansi milioni moja.
Hivi Makutupora bado kuna kambi?
ilikuwa maarufu enzi za Mwalimu