Sijapenda Jokate Mwegelo

Bado anahuzuni ya kutenganishwa na (some text missing)
 
Picha hii inazungumza mengi. Au mnasemaje wenzangu namna anamuonea KINYAA huyo mtotoView attachment 1541094
Mtoto alikuwa analia kipindi jokate anataka kumbeba. Jokate akaamua kuweka hivyo mikono kama ishara ya kutombeba ili anyamaze na mtoto akatulia.. Si unajua rangi ya kijanj CCM vitoto hivi ni vi malaika vinaona mengi .. Jokate hana shida mtoto ndio analia akitaka kubebwa na Jokate ndio maana kaweka hivyo mikono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…