johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,145
Hatuwezi kuiondoa hiyo tofauti!Tofauti ipo ,ila inahitaji akili kubwa kutambua hilo kwa sasa
Kwenye siasa hilo halina ugumu wowote bwashee!Unadhani Gwajima (mch) ,Polepole, Bashiru, Musiba wanaweza kukaa na kula chakula pamoja na Nape,, Makamba, Membe na Kinana?
Wewe Jo kama sio kipofu basi utakuwa na kengeza au chongoHuu ndio wakati ambao CCM tunapaswa kuwa wamoja chini ya Nahodha wetu Rais Samia ili aweze kutuvusha
Hayati Magufuli ameumaliza mwendo na ameingia kwenye historia yatupasa tumuache apumzike kwa amani, nasi tuliobaki tuyatekeleze yale tutakiwayo na ilani ya CCM pamoja na maono ya Jemedari wetu mpya mama Samia
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Ufipa mnatamani CCM ipasuke ili Polepole na Bashiru wahamie Chadema!Wewe Jo kama sio kipofu basi utakuwa na kengeza au chongo
Kweli wewe kipofu ipasuke mara ngapi!? Au mpaka isagike itoe unga? Jo check your upstairsUfipa mnatamani CCM ipasuke ili Polepole na Bashiru wahamie Chadema!
Hahahaaaa, leo kimya sana mitaa ya Ubungo bwashee!Kweli wewe kipofu ipasuke mara ngapi!? Au mpaka isagike itoe unga? Jo check your upstairs
Cant the center hold???!!!Things fall apart.
Kwa Akili hizi HUWEZI KUJUAHuu ndio wakati ambao CCM tunapaswa kuwa wamoja chini ya Nahodha wetu Rais Samia ili aweze kutuvusha.
Hayati Magufuli ameumaliza mwendo na ameingia kwenye historia yatupasa tumuache apumzike kwa amani, nasi tuliobaki tuyatekeleze yale tutakiwayo na ilani ya CCM pamoja na maono ya Jemedari wetu mpya mama Samia.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Mnara wa BABELIThings fall apart.
Labda ni kwasababu ya chademaHuu ndio wakati ambao CCM tunapaswa kuwa wamoja chini ya Nahodha wetu Rais Samia ili aweze kutuvusha.
Hayati Magufuli ameumaliza mwendo na ameingia kwenye historia yatupasa tumuache apumzike kwa amani, nasi tuliobaki tuyatekeleze yale tutakiwayo na ilani ya CCM pamoja na maono ya Jemedari wetu mpya mama Samia.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!