Sijajua Upinzani ndani ya CCM unatoka wapi wakati Viongozi wetu wote wanatekeleza ilani ya chama wakisaidiwa na ACT Wazalendo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,558
Huu ndio wakati ambao CCM tunapaswa kuwa wamoja chini ya Nahodha wetu Rais Samia ili aweze kutuvusha.

Hayati Magufuli ameumaliza mwendo na ameingia kwenye historia yatupasa tumuache apumzike kwa amani, nasi tuliobaki tuyatekeleze yale tutakiwayo na ilani ya CCM pamoja na maono ya Jemedari wetu mpya mama Samia.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 
Huu ndio wakati ambao CCM tunapaswa kuwa wamoja chini ya Nahodha wetu Rais Samia ili aweze kutuvusha

Hayati Magufuli ameumaliza mwendo na ameingia kwenye historia yatupasa tumuache apumzike kwa amani, nasi tuliobaki tuyatekeleze yale tutakiwayo na ilani ya CCM pamoja na maono ya Jemedari wetu mpya mama Samia

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Wewe Jo kama sio kipofu basi utakuwa na kengeza au chongo
 
ccm lipi la kujivunia?mmeifanyia nchi nini ?mlichofanikiwa ni kuminya freedom of expression na kuua elimu,now read this President Uhuru yupo ziarani SA siku ya leo na ameongea kitu very clever.

Maua yanalimwa Kenya na packaging inafanyika pale ila wanachokifanya ,maua yanakua na lebo za retail companies za SA kama WW au checkers na maua haya yanasafishwa hadi Holland.

Yakifika pale na lebo za retail za SA zenye bei in zar,Holland wanayapeleka kwenye hizi retail back!!
 
Huu ndio wakati ambao CCM tunapaswa kuwa wamoja chini ya Nahodha wetu Rais Samia ili aweze kutuvusha.

Hayati Magufuli ameumaliza mwendo na ameingia kwenye historia yatupasa tumuache apumzike kwa amani, nasi tuliobaki tuyatekeleze yale tutakiwayo na ilani ya CCM pamoja na maono ya Jemedari wetu mpya mama Samia.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Kwa Akili hizi HUWEZI KUJUA
JamiiForums1980995331.jpg
 
Huu ndio wakati ambao CCM tunapaswa kuwa wamoja chini ya Nahodha wetu Rais Samia ili aweze kutuvusha.

Hayati Magufuli ameumaliza mwendo na ameingia kwenye historia yatupasa tumuache apumzike kwa amani, nasi tuliobaki tuyatekeleze yale tutakiwayo na ilani ya CCM pamoja na maono ya Jemedari wetu mpya mama Samia.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Labda ni kwasababu ya chadema
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom