Alfajiri ya Leo kwenye saa 11:30 hivi natoka nyumbani naenda kwenye mihangaiko yangu! Nilikuwa upande wa magari yanayorudi toka mjini! Upande wa magari yanayoenda mjini kulikuwa na msururu wa magari, gari ya mwisho ilivyomalizikia ghafla mbele yangu upande huo nikaona jeneza katikati ya Barabara nikafikicha macho labda sioni vizuri jamani ni jeneza kabisaa jeneza!!!na nilikuwa kwenye 40km/h yaani nimeona vizuri kabisa,Sasa sijaelewa lilikuwa linasafirishwa limedondoshwa kama limedondoshwa ina maana waliokuwa nalo hawajaona??? Sielewi nini kimetokea au kama kuna mtu alishawahi kukutana na situation s
Siti ya mbele kabisa...ngoja wajeAlfajiri ya Leo kwenye saa 11:30 hivi natoka nyumbani naenda kwenye mihangaiko yangu! Nilikuwa upande wa magari yanayorudi toka mjini! Upande wa magari yanayoenda mjini kulikuwa na msururu wa magari, gari ya mwisho ilivyomalizikia ghafla mbele yangu upande huo nikaona jeneza katikati ya Barabara nikafikicha macho labda sioni vizuri jamani ni jeneza kabisaa jeneza!!!na nilikuwa kwenye 40km/h yaani nimeona vizuri kabisa,Sasa sijaelewa lilikuwa linasafirishwa limedondoshwa kama limedondoshwa ina maana waliokuwa nalo hawajaona??? Sielewi nini kimetokea au kama kuna mtu alishawahi kukutana na situation kama hiyo wananzengo!!
Hatari... Barabara ipi hiyo?Alfajiri ya Leo kwenye saa 11:30 hivi natoka nyumbani naenda kwenye mihangaiko yangu! Nilikuwa upande wa magari yanayorudi toka mjini! Upande wa magari yanayoenda mjini kulikuwa na msururu wa magari, gari ya mwisho ilivyomalizikia ghafla mbele yangu upande huo nikaona jeneza katikati ya Barabara nikafikicha macho labda sioni vizuri jamani ni jeneza kabisaa jeneza!!!na nilikuwa kwenye 40km/h yaani nimeona vizuri kabisa,Sasa sijaelewa lilikuwa linasafirishwa limedondoshwa kama limedondoshwa ina maana waliokuwa nalo hawajaona??? Sielewi nini kimetokea au kama kuna mtu alishawahi kukutana na situation kama hiyo wananzengo!!
hahahaUkashindwa hata kupiga picha
Mkoa gani huo ulipo ili nianze utabiri wangu uchwara?Alfajiri ya Leo kwenye saa 11:30 hivi natoka nyumbani naenda kwenye mihangaiko yangu! Nilikuwa upande wa magari yanayorudi toka mjini! Upande wa magari yanayoenda mjini kulikuwa na msururu wa magari, gari ya mwisho ilivyomalizikia ghafla mbele yangu upande huo nikaona jeneza katikati ya Barabara nikafikicha macho labda sioni vizuri jamani ni jeneza kabisaa jeneza!!!na nilikuwa kwenye 40km/h yaani nimeona vizuri kabisa,Sasa sijaelewa lilikuwa linasafirishwa limedondoshwa kama limedondoshwa ina maana waliokuwa nalo hawajaona??? Sielewi nini kimetokea au kama kuna mtu alishawahi kukutana na situation kama hiyo wananzengo!!
Naomba isiwe mtwaraMkoa gani huo ulipo ili nianze utabiri wangu uchwara?
Inabidi upite nalo..alokufundisha kudrive hakukwambia mambo yanayofanana na hiki ulichokutana nacho na namna ya kukabiliana nayo?Mkuu ninachojiuliza kama lingekuwa upande wangu ningefanyaje,ningepita nalo?ningesimama?ningelikwepa?
Kitu Chochote unachokiona barabarani ambacho sio kawaida Sheria ni moja tu kupasuka hata kama unamuona mama Yako porini barabarani usikuu wewe pasua ukitaka kukwepa ndio itakuwa mwisho wa maisha Yako..na ukifa unaenda kuzimu sio mbunguniMkuu ninachojiuliza kama lingekuwa upande wangu ningefanyaje,ningepita nalo?ningesimama?ningelikwepa?