Sijachezea kabisa mbususu at my 10's

Zee Korofi

JF-Expert Member
Oct 5, 2021
1,612
1,410
Sometimes nawaza, au huenda niliepushwa ili niwe somebody kama nilivyo now? Sawa nina vihela vya kunitosha mimi na kusaidia wengine wengi, but why sina papara na mbususu?

Nilisema nikipata maisha tu basi chupi zitanikoma, ila sasa hivi nachagua mimi nani wa kumfunua, so huenda nimeshawakinai.

Kila jambo lina kusudi lake, nakumbuka nilishawahi kulia na kuomba nipate chapa ili namimi ni roll na mademu wazuri kama wenzangu, ila vingi vilinibana.

Now hata mpenzi wangu mjamzito sometimes namtafutia tu sababu nimchape hata kakofi ka mahaba.

Kila jambo lina kusudi lake. Tusikate tamaa, wengine wanazikamata hela ujanani wengine uzeeni.

Mimi nimemaliza. Wa kuelewa ameelewa.
 
Inaelekea umri wa kufanya hayo mambo umeshakutupa mkono, wewe sasahivi focus kwenye mambo ya ujenzi, kilimo, ufugaji na siasa mambo ya mbususu hayo yameshakupita mkuu..
 
Bado sanaaaa, huenda ni wewe yamekupita miye bado. Nilishindwa at my 10's ila now at my 20's nawala sana. Within a year nimeshafidia kila kitu.

Nikifika huko late 30's ndiyo nafikiri ni umri wa kuacha mapenzi. Ila siyo sasa.
 
wengine wanazikamata hela ujanani wengine uzeeni.
Basi nikajua wewe ni kati ya waliozikamata uzeeni ukizingatia na lipicha lako hilo.😄

Ila kisaikolojia wanasema ukishakua na uwezo wa kukipata kitu, hamu ya hicho kitu inapungua. Yaaani kinakua sio ishu tena. So huenda na wewe umefikia point ambayo unaona mbususu ni kitu cha kawaida hazikuumizi kichwa tena..
 
Basi nikajua wewe ni kati ya waliozikamata uzeeni ukizingatia na lipicha lako hilo.

Ila kisaikolojia wanasema ukishakua na uwezo wa kukipata kitu, hamu ya hicho kitu inapungua. Yaaani kinakua sio ishu tena. So huenda na wewe umefikia point ambayo unaona mbususu ni kitu cha kawaida hazikuumizi kichwa tena..
Fact, naunga hoja
 
Back
Top Bottom