Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 895
- 2,218
Na nyie mjifunze kujitegemeaYani mwanaume anaku ask for a date Alaf yy mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba Alaf ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu, Yani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya mm nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.
Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa[emoji35] . Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment. Nimefuta his number staki tena kumuona wala kuwasiliana nae.
🤣🤣🤣DADA ANDIKA TENA BILA KULIA, MANA NAKUONA UNAANDIKA UNALIA HAPO MPAKA VIKAMASI VINAKUTOKA🤣Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.
Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.
Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.
Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa[emoji35] .
Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.
Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Mwanaume kama huyo futa namba hakufai kabisa.Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.
Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.
Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.
Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa[emoji35] .
Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.
Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Na huyo ndio alikua awe mume wako huko mbeleni.Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.
Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.
Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.
Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa[emoji35] .
Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.
Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Nawe ulikuwa mlaku sana, ulichagua sehemu ya gali na vya ghali eboo.Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.
Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.
Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.
Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa[emoji35] .
Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.
Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
🤣🤣🤣Nawe ulikuwa mlaku sana, ulichagua sehemu ya gali na vya ghali eboo.
Kwani babako aliwahi kumpeleka ma mkwe pale?
🤣🤣🤣
Achana na dada zetu, siku wakianza kujitegemea wote wanaume wengi watalia sana najua hutanielewa🤣🤣🤣🤣Na nyie mjifunze kujitegemea
Huwaaa unauza sh ngap chapu....hakuna kulalaa...Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.