sonofdory Member Joined Jul 4, 2016 Posts 78 Reaction score 39 Jul 27, 2016 #1 Jamani, tusaidiane hapa tafadhali wanandugu. Mimi ninaapply diploma NACTE, nina shida na kozi za afya za KCMUco ila hiki chuo sikioni kwenye list. Tatizo liko wapi? Nafanyaje kukipata kwenye orodha ili niombe? [emoji120]
Jamani, tusaidiane hapa tafadhali wanandugu. Mimi ninaapply diploma NACTE, nina shida na kozi za afya za KCMUco ila hiki chuo sikioni kwenye list. Tatizo liko wapi? Nafanyaje kukipata kwenye orodha ili niombe? [emoji120]