sihitaji kuolewa je ni tatizo?

Status
Not open for further replies.
BAK huwa unanifurahisha sana, kila mjadala huwa hukosi kawimbo kake, kanisani huwa tunasema "Anayeimba anasali mara 2" sasa sijui na wewe unatumia msemo huo? just thinking aloud
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
BAK huwa unanifurahisha sana, kila mjadala huwa hukosi kawimbo kake, kanisani huwa tunasema "Anayeimba anasali mara 2" sasa sijui na wewe unatumia msemo huo? just thinking aloud


Huu msemo nimewahi kuisikia hata mimi nasali maana tunatakiwa tumkumbuke Muumba wetu kwenye raha na shida pia.
 
Sidhani kama single parent ni mbaya, inaweza kuwa ni nzuri zaidi kuliko familia ya baba na mama ambao walishaachana siku nyingi mioyoni mwao wanaishi tuuu! mama ambae ni mhimili muhimu kwenye familia yuko depressd 24/7! hana raha ya ndoa yupo tu !
unakuwa na network nzuri mfano weekend mtt anashinda kwa uncle wake kupata male figure in his/her life. Or kama umezaa na mtu ambaye hamjaoana anaspend t nayew
 
sijazäa bado ila kabebi tayari kanacheza tumboni, am very happy after raw nilipanga nasikia raha sana, sasa hivi màisha yangu yamekamilika
najiona mwanamke katika wanawake.

Eti mwanamke katika wanawake, yani kuzaa ndo kunakufanya uwe mwanamke? Je ungekuwa huna uwezo wa kuzaa usingekuwa mwanamke? Wewe ni mgonjwa, seek psychological advice my friend before its too late for you. Im sure that you think you are okay but for real you are not in the right stand my dear.
 

Huyo kakako, the male figure you call kwani ndo uliyezaa nae? Au unataka kujifanya kaka kumbe ndio kaaaka! Wacha kufuga mbwa kwa kutegemea kinyesi cha walevi, raha uzae utunze mwenyewe. Nyie ndio mnaowatia visirani wifi zenu. Mwenzio kaolewa anakaa na kakako eti wkend upeleke kitoto chako kwa uncle wewe ukakitembeze huko! Hebu uwe na aibu khaa! Mpelekee aliyekubebesha tumbo we ukastarehe wkend.
 
hayo maneno mkuu, tena watoto wanaozaliwa kwenye single p wanakulaga gudtime kuliko wenye baba zao.
 
Na mawifi wengi wanaosumbua wake wa kaka zao ni hao ambao hawajaolewa. Maana wana muda wa kutosha kuzurura kwenye majumba ya watu. Na unaweza kuta kuna wale wanaona wivu mke wa kaka yao alivyopata a caring husband (Kaka) wakati wao mume wamekosa. Hapo chacha.

 
hayo maneno mkuu, tena watoto wanaozaliwa kwenye single p wanakulaga gudtime kuliko wenye baba zao.

ukirejea kichwa cha habar cha hii sridi,,,kweli una matatizo,,,pole sana bimdada,,,,,,,,,it seems umeteswa sana kwenye mapenz na wote walotoka na wewe walikuhadaa kuwa watakuwowa
 

anataman kuitwa mwanamke,,,lakini its imposible,,,,,,hana mume,,,heshima ya kuitwa mwanamke inapotea,,,,,ataitwa mhuni tu
 
Mbona rahisi sana kama unalipa njoo kimboka buguruni jamaa watakwenda bila condom hata mtoto wa baba huta mjua maishaini. Wanaume wa kuzalisha wapo wengi sana.
 
Naheshimu uamuzi wako na nakubaliana na wewe, kuna wakati hutamani kuolewa kabisa for whatever reason is. Lakini nashangaa pale unapokuwa na mtu unamfeel I don't see why not!

Sasa unamtu unaishi nae kinyumba, mna mtoto already on the way, getting married what would that make difference to you. Its more of giving blessing to your union.
 
I appreciate ur decision,every human being has a right to live the way he/she likes.
 
hayo maneno mkuu, tena watoto wanaozaliwa kwenye single p wanakulaga gudtime kuliko wenye baba zao.
single parent ni janga dada bora kuwa yatima ujue moja auna baba au mama kuliko kusikia mama anasema wewe baba yako alikataa mimba au mama kumwambia mtoto wake kuwa alipofikisha umri flani,nilitafuta mwanaume wa kunipa ujauzito ili nami niwe na mtoto...inakuwa kama ngombe jike anapelekwa kupandishwa kwa dume la mbegu......
 
 
kuna wengine kitu kumuungilia huko down anaona kinyaa I av dis prove! Ila anapenda kunyonyesha kulea
bora Mungu aliwapa kwenda angani kila mwezi mnatoa uchafu then unasema kwa kujiamini apo kwenye red then unataka kuzaa ndo maana Mungu anawatupia maugonjwa ya ajabu check nw a day young lady wana kansa ya uzazi na matiti.....
Mfano I av a man anayenipenda to death i.e a real man si suruali amepropose almost a yr sijisikii kuolewa ingawa
this is out of my business madam muhim nina dada ananipenda nami nampenda every day nampa big up mama yake alimlea katika maadili....ya kuwa mwanamke mwenye kuweza kuitunza familia yake
 

Waache hawajajua ni kiasi gani kwa yule mtoto anaathirika kwa kukosa upendo wa baba
 
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…