sihitaji kuolewa je ni tatizo?

Status
Not open for further replies.
usifanye maamuzi ukiwa katika hali ya kisirani. Utakuja juta mbeleni, inavyoonekana (psycho) umekata tamaa na sasa unafanya maamuzi ya kukomoa bila kujua unajikomoa mwenyewe...sidhani kama kuna mwanamama anapenda kuwa single parent, hutokea tu bahati mbaya. Pia wafikirie hao watoto, je wewe umelelewa na wazazi wote? Ungependa wanao walelewe na mzazi mmoja? Tafiti zinaonyesha kuwa kukosa malezi ya wazazi wote huleta mapungufu kwenye mahusiano baadae.
Hebu jipange vizuri mbona utampata tu....
 
sijakata tamaa kama unavyofikiria wewe, nimetafakari then nikachukua hatua, kuna wimbi linalo wasumbua
wasichana wengi kwakua hajaolewa hawezi kusonga mbele kimaisha kama vile kuzaa, kujenga, nk.
Wanasubiri waje waolewe matokeo yake unakuta mtu kafikisha miaka 38 hajaolewa na matatizo yameshaanza kwenye mfumo wa uzazi
mimi nafanya kazi hosp naona jinsi wadada wenye umri kuanzia 34yrs wanasumbuliwa na mauvimbe kwenye vizazi na
hawajawahi kuzaa wala kubeba mimba kisa hawajaolewa bado, kingine kilicho nihamasisha ni dada
mmoja ana 37 anaishi kwao yaani hajawahi kutoka kwa wazazi wake nani bikra kajakutolewa uvimbe kwenye
kizazid dokta akamwambia abebe mimba fasta maana mwisho wake ni kizazi kutolewa ilikua ni mwaka jana mwaka huu kaja tena uvimbe umekua inabidi atolewe mwishoe kizazi kitatolewa, anadai hajapata wa0kumuoa ndio azae maana amejitunza akitegemea kuolewa sasa umri huo kuza bila baba aibu.
Binafsi nilishajipanga nikifikisha 30yrs sina haja ya kuolewa tena nazaa nahatimae malengo yangu
yametiamia am very happy. Wadada wanaoona kuolewa dili waendelee kusubiri hizo ndoa uchwara za siku hizi. 4












































0
 
Binafsi nilishajipanga nikifikisha 30yrs sina haja ya kuolewa tena nazaa nahatimae malengo yangu yametiamia am very happy

dah, huu uzi wako unaukoroga kweli... so malengo yametimia tayari? ushazaa na boifrendi au?
 

wewe umeshakuwa skrepa na tumaini la kuolewa limeshapotea,usijipe matumaini hapa kwa nguvu ya ngada!
 

hayo mauvimbe ni mapills wanayogonga. We sema tu una matatizo ya kisaikolojia na hujitambui.
 
dah, huu uzi wako unaukoroga kweli... so malengo yametimia tayari? ushazaa na boifrendi au?
sijazäa bado ila kabebi tayari kanacheza tumboni, am very happy after raw nilipanga nasikia raha sana, sasa hivi màisha yangu yamekamilika
najiona mwanamke katika wanawake.
 
sijazäa bado ila kabebi tayari kanacheza tumboni, am very happy after raw nilipanga nasikia raha sana, sasa hivi màisha yangu yamekamilika
najiona mwanamke katika wanawake.

umeamua kumtega jamaa kwa style hiyo?
 
sijazäa bado ila kabebi tayari kanacheza tumboni, am very happy after raw nilipanga nasikia raha sana, sasa hivi màisha yangu yamekamilika
najiona mwanamke katika wanawake.

unajiona mwanamke kati ya wanawake? Before ulikuwa unajionaje mama kijaho?
 
unajiona mwanamke kati ya wanawake? Before ulikuwa unajionaje mama kijaho?
mwanzoni ñilikua natamani kuolewa ili nizae, ila nimekuja jigundua nilichokua nahitaji ni mtoto na sio kuolewa,
najiona mwanamke maana sasahivi nikikaa kwenye jamgi natambulika mimi ni mama na hakuna atakae niuliza umeolewa? Tofauti kubwa ati!
 
 
Dada hili ni tatizo. nashauri mtafute SOCIAL WORKER akufanyie Counceling ili uwe vizuri kisaikolojia. KIMSINGI HIOI NI TATIZO.
 
Dont force it.if u want to remain single for da rest of ur life.JUST BE URSELF,SINGLE LADY.
 
najiona mwanamke maana sasahivi nikikaa kwenye jamgi natambulika mimi ni mama

kwa maelezo yako ya awali mtoto ndiyo kwanza anachezacheza tumboni... so bado hujawa mama unless tayari umejifungua..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…