Ndugu zangu
Leo
Nimeamua kuwasifia wanawake katika Mambo haya. Naomba mzipokee kwa mikono miwili.
A. Kitendo cha kupendwa/kutamaniwa na kidume usichokijua hata kidogo, nawe hatimae ukaja kukipenda zaidi kuliko hata kilivokupenda wewe. Na wakati pale mwanzo ulikuwa unakiona Kama NNYA
(NAWAPONGEZA KWAKWELI)
We
B. Kuwaacha wazazi wako, Kaka zako, dada zako., Nyumba yenu nzuri, gari nk. Yote hayo ni
Kwa ajili ya kufuata KIFAATIBA kimoja tu kwa mwanaume masikini na kutotamani tena hata kurudi kwenu!!
(Pongezi ziwafikie)
C. Kujaribu/kuthubutu kunywa sumu, kujinyonga nk
Kwa ajili ya mwanaume mmoja chokoraa hivi ambaye hata wewe haupo akilini kwake. Kwasababu tu anataka kukusaliti (SIO WANAWAKE WOTE).
Kwasababu hizo chache
Napenda kuwasilisha PONGEZI zangu kwa ndugu zangu wapendwa (WANAWAKE)
ASANTENI.
Sent using
Jamii Forums mobile app