Namba tano haihusiki hapoKuna utafiti nimeufanya kuhusu watu wenye roho mbaya wako hivi;
1.Hupenda kujiona wao ni wema na wasafi kuliko wengine.
2.Hupenda kulalamika tuu.
3.Hawapendi ushirikiano katika shida za wenzao ila za kwao hupenda ushirikiano asaidiwe.
4.Hawapendi kukosolewa ila wanapenda kuwakosoa wengine
5.Ni wagumu kutoa pesa zao kumsaidia mtu asiye na faida naye ila wao wakiwa na shida huomba msaada kwa watu ambao hawana faida nao.
Hawa ni watu wenye roho mbaya, haya ongezea zingine.
Mbon kama unamlenga bwana yuleeeeeKuna utafiti nimeufanya kuhusu watu wenye roho mbaya wako hivi;
1.Hupenda kujiona wao ni wema na wasafi kuliko wengine.
2.Hupenda kulalamika tuu.
3.Hawapendi ushirikiano katika shida za wenzao ila za kwao hupenda ushirikiano asaidiwe.
4.Hawapendi kukosolewa ila wanapenda kuwakosoa wengine
5.Ni wagumu kutoa pesa zao kumsaidia mtu asiye na faida naye ila wao wakiwa na shida huomba msaada kwa watu ambao hawana faida nao.
Hawa ni watu wenye roho mbaya, haya ongezea zingine.
Inahusika sana tuNamba tano haihusiki hapo
Basi kama ni hivyo acha hiyo kisha ondoa namba 4.Inahusika sana tu
Hakuna ya kuondoa bali ongezea nyingine tuu, au wamekutouch mkuuBasi kama ni hivyo acha hiyo kisha ondoa namba 4.
Upo sahihiKuna utafiti nimeufanya kuhusu watu wenye roho mbaya wako hivi;
1.Hupenda kujiona wao ni wema na wasafi kuliko wengine.
2.Hupenda kulalamika tuu.
3.Hawapendi ushirikiano katika shida za wenzao ila za kwao hupenda ushirikiano asaidiwe.
4.Hawapendi kukosolewa ila wanapenda kuwakosoa wengine
5.Ni wagumu kutoa pesa zao kumsaidia mtu asiye na faida naye ila wao wakiwa na shida huomba msaada kwa watu ambao hawana faida nao.
Hawa ni watu wenye roho mbaya, haya ongezea zingine.
That's the problemIla sijui ni kwanini wengi huwa wanafanikiwa sana..,