Sifa za wanawake/wadada wanene

Hapa nadhani ungeandika chubby ingependeza zaidi na kueleweka zaidi.
 
Hizi ni sifa za mwanamke mpole mpole yule mwenye uoga mbele ya me.
 
Bila shaka wembamba ni vise versa ya hizo tabia za wanene
 
ha ha ha ha pale unapoachwa utaongea yoteee mpaka ya uvunguni na wew mnene mbna selfish hausamei mchoyo mnafiki na haujui kudekeza kwendaaaaa mpaka yakutoke moyon najua sio leoo hayo maji uneshayavulia nguoyaogeee NILIPOPROVE KUA ROHO MBAYA HAINA UMBILE NIPALE MTU UNAISHI NA WADOGOZAKO THEN UNAFUNGIA CHAKULA CHUMBAN UPIKE UKIJISKIA NA HUYU NI MNENE SASA CJUI HAPO CCJUI research yako KAMA INEKALIKA
 
Asante kwakutusifia ila pakucheat uombe msamaha mmmmh pagumu hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau no 11
Wivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…