Sifa za wanawake/wadada wanene

hizi sifa za sisi wanaume unaweza ukafa kwa kukosa hewa!
Hapo hata nifungwe pingu hiyo staili hapana
Sasa mwnzio anataka aingie CHUMVI UVINZA...sasa ataingiaje?inabidi apekenyuwe...ndy yamemkuta hayo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] KUMENG'ENYUA Seriously nyie watu mnataka nikalazwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ushawahi kumenya ndizi mbichi [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa staili hio kudadeki [emoji23][emoji23]


Sasa embu niambie hapa ivi unaingiaje chumvini [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]
 
Watu wa mizigo mhh waliojaariwa na Allah,miss Bantu sio maneno yangu ni sheikh kipozeo
 
Ushawahi kumenya ndizi mbichi [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa staili hio kudadeki [emoji23][emoji23]


Sasa embu niambie hapa ivi unaingiaje chumvini [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]
Hilo mkuu kuna watu wake WANALIMENG'ENYUA hilo mkuu...linalia kama PANDA aliyebebeshwa mzigo mzito...kuna jamaa yangu mmoja..tena yumo humu ila naficha ID yake..jamaa anayajulia MADUDE aina hyo ni balaa... Tena kama anasumaku...yakimuona huwa yanajipeleka yenyewe..
 
Dah huyo jamaa ako na wasiwasi naye. Basi hata Viboko watakua wanampenda.
Na yeye nadhani akiona kiboki kinatikisa kunanamna anapata hisia flani [emoji23][emoji23]

 
Tooooooooba, [emoji23] [emoji23] [emoji23] WEKA MBALI NA WATOTO.

Ama kweli sinenepi hata niambiwe nini, kama mambo yenyewe ndio hayo ya kuziba pumzi watoto wa watu hahahahaha.

Usinenepe ukawa tipwax2, kuwa na kamwili sexy-kabonge flan hivi ameizing!!
 
Inategemeana na mtu na mtu....binafsi namuona mwanamke mnene kama zombie tu na wala sina kabisa hisia nao.
 

Ukipata taarifa Naomba unisaidie kunijuza
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…