Hahahahah mkuu nmecheka kwa sautinakwambia mke wangu ana vituko balaa... atavaa khanga nyepesi ile ya kulalia halaf mara atafute kitu uvunguni... mara atoe mpira aweke mziki acheze... mara akwambie kiuno kinamuuma em nikande... yaan hapo ujue anataka kunipiga hela ya mwisho wa mwezi...!!!!
Haya bwana shemeji ila dada yangu naye kibonge naona unatoa eksipiriensikuwa na heshima na shemeji yako
Ohoooo! kwa hiyo una joto piamm kibonge chakii
Hata mi siku hizi nmeanza kupenda mabonge [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Hahahah wacha nijivunie ukibonge wangu maana si kwa sifa hzi tulopewa leo
Kweli vile au utanipa ofa kama utojalihahahhaahh
ahhaahhah yaan wwhapa nilivoiona tu hiyo picha ya mwenye skirt ya pundamilia nimesimamisha huku [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumekukosea nini vibonge lknmwanamke mnene ukicheza nae blues utafikiri unauzunguka mbuyu
hashikiki
Aha wapi kauli yako ya kwanza hujatengua umesema unapenda wembamba weupe fulani hvi ,kwa hyo ww na vibonge ni vtu viwili tofautHata mi siku hizi nmeanza kupenda mabonge [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
hahahaahh yaan MO11 si mzimaHaya bwana shemeji ila dada yangu naye kibonge naona unatoa eksipiriensi
Siku hizi,,,sijasema hua napenda vibonge nasema napenda modo ila siku hizi naanza kupenda vibongeAha wapi kauli yako ya kwanza hujatengua umesema unapenda wembamba weupe fulani hvi ,kwa hyo ww na vibonge ni vtu viwili tofaut
hata sijui chakii ngoja niulizeOhoooo! kwa hiyo una joto pia
vibonge oyeeeeHahahah wacha nijivunie ukibonge wangu maana si kwa sifa hzi tulopewa leo
MmmhHata mi siku hizi nmeanza kupenda mabonge [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
hapana tafuta tuKweli vile au utanipa ofa kama utojali
hapo kwa vibonge atakua katamani tu aonje aone walivyoAha wapi kauli yako ya kwanza hujatengua umesema unapenda wembamba weupe fulani hvi ,kwa hyo ww na vibonge ni vtu viwili tofaut
Nakufatahata sijui chakii ngoja niulize