dah!hapo tena bosi wangu,lol!1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....
kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......
bwashee naona huyu ana utani na dada zakoπKwa hiyo wembamba ni kinyume chake?
ha ha ha Rwakatare ni mwembamba...
lol........
i hope ''wanasahau haraka'' hilo tu!otherwise....uki cheat,wanasamehe fast
kuliko wembamba....
msamehe kama amekukwazaπ±umenikwaza
uki cheat,wanasamehe fast
kuliko wembamba....
msamehe kama amekukwazaπ±
Hata mimi nilijua hivyo mpaka nilipomsoma hapo chini.bwashee naona huyu ana utani na dada zakoπ
uki cheat,wanasamehe fast
kuliko wembamba....
Kama we mwembamba hebu kula sana unenepe kisha uone utakavyosamehe fast. (Hii ni kwa mujibu wa Boss)ni ngumu sana kumsamehe
hommie,Hommie vp tena? ha=match hizo kolifikeshen