Kimsingi huwa naamini huwezi pata vyote kwa mtu mmoja ila sasa kwa mimi naona aheri nipambane na namba 1 tu. Hao wengine waangukie kwenye michepuko hasa huyo namba 3.
Binafsi nimepata namba 3 kadhaa wakanipenda haswa ila niliwapiga mkasi nikatulia zangu kwa namba 1.