Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,951
- 61,758
Mwenza shikamoo.Utafiti huu umeufanyia maabara gani??
Tupe maoni yako mkuu,kabla ya kukutajia maabaraUtafiti huu umeufanyia maabara gani??
pole chifuSifa za mwanamke
Naishia hapo kwa leo...
- Ukimpata anayependa maendeleo au mpambanaji,unakuta kwenye tendo hawezi kumudu
- Ukimpata anayependa kuhongwa au pesa,ataigiza kwenye tendo
- Ukimpata mbulula au kichwa maji,tendo analimudu vizuri ila kwenye mambo ya maendeleo au upambanaji ni sifuri.
Kwa nini mkuu?pole chifu
naona mambo yako yanaenda viceversaKwa nini mkuu?
Leo mume simu yake haijawaka taa nyekundu etii😂Mwenza shikamoo.
ha ha ha hanaona mambo yako yanaenda viceversa
Maoni yangu ni "hicho ulichokileta hapa ni batili"Tupe maoni yako mkuu,kabla ya kukutajia maabara
yuko sawa kwa nafasi yakeMaoni yangu ni "hicho ulichokileta hapa ni batili"
Mkifika 50 mnaosema hii ni batili....nami nitajikosoaMaoni yangu ni "hicho ulichokileta hapa ni batili"
Naam kwa yake nafasi.yuko sawa kwa nafasi yake
Hujakutana na vyuma wewe bado😂mtu anapambana duniani na kitandani likewise..Mkifika 50 mnaosema hii ni batili....nami nitajikosoa
Wapo wachache ingawa changamoto zao,hawawezi kufanya kila sikuHujakutana na vyuma wewe bado😂mtu anapambana duniani na kitandani likewise..
Inaachaje kuwaka kwamfano?😂😂😂Leo mume simu yake haijawaka taa nyekundu etii😂
ha ha ha watakuja mkuuNataka mwanamke wa kunipa papuchi any time