Sifa za mwanaume anayekupenda

Wanaume Ni wasanii Sana anaweza fanya yote hayo kumbe anataka papuch tu...we nipe hela za kutosha tu ..yaan namaanisha helaaa
 
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Huwajui wanaume wewe...... Watu mpaka kwa wakwe tulifika kumbe changa la macho.... Mwanaume hata akisema anakufa hapo siamini mpaka Nione moyo umestop kudunda
Duh! Yaani ndio ukweli unaamini wanaume wote "mbwa"???
 
Ni kwel kabisa
 
Hakupendi ndio.....

Kama anakupenda mpaka simu itakuwa hamna shida, hapo kwenye kuweka picha zako chumbani unapaonaje???
Jamani kwa hiyo asipokupa simu yake hakupendi 😁
Yaani siku hizi picha zipo kielektroniki zaidi.. Dah so zinabidi ziwe everywhere eeh!
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]....
Lakin tunaopenda wanawake kwa dhati tupo ila tu hatujapata nafas ya kupendwa kwa dhati pia[emoji24]
 
Sifa hizi alikua nazo Sunday wangu enzi za ujana wangu
 
Sifa nyingine ya mwanaume anaekupenda:
Anakupenda half we humpendi hata kidogo
Baada ya kumuacha jamaa. Hapo upo kwenye harakati za kutafuta unayempenda, miaka inaenda kila unayempenda anakula mzigo, anasepa. Hapo ndipo huwa mnakumbuka shuka wakati pameshakucha. Unaanza tena kumsumbua jamaa aliyekupenda wakati wewe hukumpenda, tena kipindi hiki unaonesha mahaba niue na jamaa hana feeling tena na wewe. Anabandua kama kawaida yetu. Kisha anatoa pasi kwa wengine nao wapambane
 
Umeongea point ya kweli.
 
Haya yalikuwepo karne ya 20.

Maendeleo ya binadamu na kibadilika kwa mitindo ya maisha kumeathiri sana mahusiano ya kimapenzi.

Kimsingi haya unayoyazungumzia kwa sasa yako kwenye movie za kifilpino tu
 
Wanawake was kileo hawatakuelewa wao wanataka mtu wa kumuomba hela tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…